Gharama za ndege binafsi zipoje?

Kwanza ukiwa na ndege lazima uwe na gari sio unashuka uanjani unapanda boda boda! Vipuri ni vya kununua genuine sio vya kuokoteza.,Uwe na Rubani, vibali vya kupaki ndege airport, vibali vya kuruka duuh
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hyo ukishuka kwenye ndege huruhusiwi kupanda bodaboda?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu hivi unaijua Airbus A380? Hii ndege ni The World's largest passenger plane! Price Tag ni Half billion in term of $ ( $ USD 445.6 Million's in 2018) kwa pesa za madafu ni kama trillion moja na ushee....Fly emirates ndo wanazitumia sana hizi ndege na wanazo zaidi ya 100!
 
Cessna 150 labda tena used unaipata kwa $20,000 tu
Kuna wakati nilitaka kununua nikaghairi lakini ni used mjue na ilikuwa $30,000 tu
Hii ni abiria 3 na pilot na urubani sio ghali hivyo kwa hizi ndege
Ila kama una ndoto za kumiliki hizo ulizoainisha hongera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…