phina98 Member Joined Aug 31, 2022 Posts 25 Reaction score 5 Sep 1, 2022 #1 Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo. Natanguliza shukrani 🙏🏻
Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo. Natanguliza shukrani 🙏🏻