phina98 Member Joined Aug 31, 2022 Posts 25 Reaction score 5 Sep 1, 2022 #1 Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo. Natanguliza shukrani ππ»
Habari za leo wapendwa, naomba msaada kwa anqejua garama za operation ya saratan ya matiti kwa pale ocean road nina ndugu yangu anaumwa hilo tatizo. Natanguliza shukrani ππ»