Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naombeni msaada wenu kwa yeyote anayejua gharama halisi za uchimbaji wa kisima(kirefu) cha maji
survey fees 250,000;kuchimba tshs 80,000/meter. ongeza gharama za mchanga,mabomba na pump. jitahidi uwe na 10,000,000 /=
Asante sana mkuu, kwa hiyo gharama inaweza kufaa zaidi maeneo gani? kwa mfano mimi nataka kuchimba kisima dodoma - interior kidogo kutoka dodoma mjini. Vipi inawezekana?
mpigie huyu 0767 12 44 72 ,0718 12 44 72Kwa uhakikia zaidi mpigie huyu: 0754608955 au huyu :0719565437- Utapata taarifa zote muhimu kwa jinsi unavyotaka