Tiles ni kitu cha mwisho kabla ya rangiHivi ukimaliza kuweka Gyspum, nini kinafuata tiles? au skimming? naomba ushauri kwa wazoefu...
Kwa hiyo baada ya kumaliza Gypsum, kuvuta wire za umeme, nini kinafuata, kati ya tiles na kumalizia vifaa vya bomba masinki?Tiles ni kitu cha mwisho kabla ya rangi
Kwasasa mkuu niponayo mbali kidogo maana ni mafile. But nataka kufahamu just roughly tuuLeta hiyo ramani tuthaminishe.
Ukubwa wa jengo je? SqmKwasasa mkuu niponayo mbali kidogo maana ni mafile. But nataka kufahamu just roughly tuu
Around sqm150 hvUkubwa wa jengo je? Sqm
Fundi Maiko wa kijijini wana nyoosha vizuri na bei zao poa sana. Vijijini kwasababu ya kutokua na iuhakika wa maji vyoo ni vya nje na jiko halina sink. Ni mwendo wa sebule dining na vyumba vya kulala.Sio fundi Maiko kweli huyo-joking
Itatosha, ila bila mchoro utakuwa unafanya kiholela.Wakuu habari,
Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za material tulizo kadiria kuanzia msingi hadi lenter zilikuja TZS 9.6M na yeye akasema ya ufundi itakuwa 2.5M hadi hapo kwenye lenter.
Sasa waungwana naombeni ushauri wenu kama gharama ni reasonable. Nyumba ni vyumba3 ukubwa wa sqm 150 hv. Fundi ni mzoefu.
Nawasilisha.
Miaka ya nyuma kidogo nilikuwa natafuta nyumba ya kununua. Bei nilizokuwa nakutana nazo zikawa hatoi maana yoyote kwangu, hivyo nikaamua kujenga mwenyewe kwa usimamizi wangu binafsi. Katika hiyo process nikagundua kuwa gharama za ujenzi siyo kubwa za kutisha ila kuna upigaji mwingi sana usipokuwa na usimamizi mzuri. Niliwahi kuleta hapa mchanganuo wa project yangu moja ya vyumba sita ambayo mthamini anaweza kukuambia milioni 100 hadi 150, lakini gharama zangu hazikufika zaidi ya milioni 15 ujenzi wote pamoja na finishing na upakaji rangi. Nilitumia mabati mekundu ya aluminium siyo vigae.Wakuu habari,
Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za material tulizo kadiria kuanzia msingi hadi lenter zilikuja TZS 9.6M na yeye akasema ya ufundi itakuwa 2.5M hadi hapo kwenye lenter.
Sasa waungwana naombeni ushauri wenu kama gharama ni reasonable. Nyumba ni vyumba3 ukubwa wa sqm 150 hv. Fundi ni mzoefu.
Nawasilisha.
Mkuu, nafikiri nenda kwa aliyekuchorea msikilize ushauri wake ili upate kilichobora.....Wakuu habari,
Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za material tulizo kadiria kuanzia msingi hadi lenter zilikuja TZS 9.6M na yeye akasema ya ufundi itakuwa 2.5M hadi hapo kwenye lenter.
Sasa waungwana naombeni ushauri wenu kama gharama ni reasonable. Nyumba ni vyumba3 ukubwa wa sqm 150 hv. Fundi ni mzoefu.
Nawasilisha.
Hongera sana kwa maandalizi ya ujenzi, kwa uzoefu wangu hiyo pesa itakusogeza lakini haiwezi kumaliza. Msingi na kupandisha Boma Kwa 2.5m ni fair sana.Wakuu habari,
Muda siomrefu natarajia kuanza ujenzi maeneo ya kigamboni. Ramani nilishapata hadi kibali sasa imebaki mimi tuu kuanza. Kuna fundi mmoja nilimtafuta anikadirie gharama na gharama za material tulizo kadiria kuanzia msingi hadi lenter zilikuja TZS 9.6M na yeye akasema ya ufundi itakuwa 2.5M hadi hapo kwenye lenter.
Sasa waungwana naombeni ushauri wenu kama gharama ni reasonable. Nyumba ni vyumba3 ukubwa wa sqm 150 hv. Fundi ni mzoefu.
Nawasilisha.
Shukran mkuu. Hii ni bajet ya boma pekee.Hongera sana kwa maandalizi ya ujenzi, kwa uzoefu wangu hiyo pesa itakusogeza lakini haiwezi kumaliza. Msingi na kupandisha Boma Kwa 2.5m ni fair sana.