Gharama za ujenzi TZS 13M

Hivi ukimaliza kuweka Gyspum, nini kinafuata tiles? au skimming? naomba ushauri kwa wazoefu...
Skimming.....nitafute chap

Mtaalamu Wa Finishing kali zenye viwango vya juu vya ubora ....nipo DSM na mikoani nafika

Tunashughulika na Yafuatayo

[emoji3502] UREMBO WA KISASA

[emoji3502]PLASTA ZA KISASA

[emoji3502]SKIMING NA RANGI

[emoji3502]TILES

[emoji828]Urembo Wa Magogo ( ukuta Wa garden)

[emoji3502]USIMAMIZI WA KAZI

[emoji3502]TUPO TEMEKE

[emoji830]CONT. [emoji336]0789005562

Kwa bei ya kizalendo nitafanya nyumba yako ' na ivutie kwa kazi Nzuri
 
Kama kila kitu hukumbuki ina maana hukuweka records zako kiusahihi. Kwa hivyo hiyo bei uliyotaja siyo ya uhalisia kabisa.
 
Kama kila kitu hukumbuki ina maana hukuweka records zako kiusahihi. Kwa hivyo hiyo bei uliyotaja siyo ya uhalisia kabisa.
Sikumbuki kutoka kichwani mpaka nikasome, siyo kwamba sina rekodi. Huwa ninafanya shughuli nyingi kiasi kuwa ni vigumu kuwa na mahesabu sahihi ya kila kitu kichwano bila kusoma vitabu vya kumbukumbu. Ila ukitafuta humu kwenye jukwaa la Ujenzi hutakosa post niliyowahi kuweka records hizo, kwani siyo mara yangu ya kwanza kulizungumzia jambo hili.
 
Hehe ....
 
Smart ujenzi
Tuwasiliane
Simu na Whatsapp:
0762-704-031.
0654-704-031.

1:Tutakuandalia tathmini ya ujenzi wako.
2:Tutakujengea.
 
Nimetumia exactly 14 Million kunyanyua boma hadi kwenye linta. Nitakuja kuweka gharama za material zote nilizo zitumia.
Safi sana mdau. Tunasubilia hesabu izo
 
ni reasonable
 
We kila kitu hukumbuki...poor you
 
We kila kitu hukumbuki...poor you
Kuna post hapa niliyoweka mahesabu yote, itafute. Siyo kuwa ninakuwa nakariri kila mahesabu. Ninapopeleka hela za ujenzi pia huwa kuna allowance wa wazazi wangu, na hela za msaada wa kusomesha watoto wa ndugu wasiojiweza. Kwa hiyo siwezi kukumbuka mahesabu yote hayo, ila niliwahi kuyaweka hapa, ukiwa serious yatafute kwenye jukwaa hili la ujenzi.
 
Umefika wapi mkuu
 
Picha?
 
Umefika wapi mkuu
Nitakuja kuleta mrejesho mkuu. ila so far nimeshapaua, plaster, rough floor, umeme ushawaka, gypsum na kuiskim, septic tank zote taari, gril za madirisha na milango ya mbele na nyuma taari. hadi hapo imenicosts almost 46M. sehemu iliokula hela ambayo haikuwa kwa bajeti ni mchanga coz sikutumia kifusi cha udongo
 
46M kumbe ulikuwa unatuchora na 13M zako
 
Hongera sana hiyo cost ni reasonable kabisa kwa levele uliyofikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…