Gharama za ujenzi zipo juu sana

Gharama za ujenzi zipo juu sana

Vilishuzwa chini ya bei hizo still leo tuna wazee bado ni wapangaji
2007 cement ilikua 10,000
Maisha ya kupanga na kujenga ni bora ya kupanga mzee!!!

Yaani mie nichukue hela yangu nikanunue michanga badala ya kuiwekeza kwenye biashara? Never
bongo labda uwe na kampuni biashara hamna kitu fanya research wenye madeni wengi ni wafanya biashara
 
2007 cement ilikua 10,000

bongo labda uwe na kampuni biashara hamna kitu fanya research wenye madeni wengi ni wafanya biashara
Mkapa anaachia nchi 2005 aliicha ikiwa Tsh 3,500/4,000/= bati jeupe gauge 30 Tsh 3,500/=.

In short vitu kuwa bei rahisi wakati uliopita haimaanishi ilikuwa muda rahisi wa kila mmoja kujenga that's why kuna wakati utafika jamii itakuwa inatushangaa tunaonunua leo cement Tsh 16,000/= wakati huo wao wanainunua Tsh 30,000/=
 
Na mambo yatakuwa magumu zaidi kama bado hujanunua kiwanja.

Na usipokuwa makini utatapeliwa hicho kidogo ulicho nacho wakati wa kununua kiwanja.

Binafsi si shauri kwa watu kama vijana kufanya uamuzi wa haraka kuhusu ujenzi.

Kikubwa ni kuendelea kukifanya hicho kitu kilichokupelekea ukapata hiyo hela ambayo unayo.

Huu ni ushauri tu na wala sio sheria kwenye maisha ya mtu.
 
Tatizo kizimkazi anachojua ni kurembua macho tu.mambo ya uchumi hayamuhusu kabisa.
Sema wewe ndio una maisha magumu au uchumi unakusumbua kuna watu wanaendelea kushusha mijengo kwa uchumi huu tulionao ujenzi ni akili yako,kujibana na kuamua kila kitu tutalaumu tu Kizimkazi kizimkazi amka pambana maisha yenyewe mafupi
 
Un

Nitajenga siku kizimkazi ametoka madarakani
 
Un
Nitajenga siku kizimkazi ametoka madarakani
Gharama za steel duniani kote zinapanda, usitegemee Nondo na bati kushuka,
GHarama za mitambo ya viwandani zinapanda so usitegemee Cement kuwa chini
 
Back
Top Bottom