Mnyenz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 2,933
- 8,112
Nitakua millionaire(utake, usitake) hivyo nitakua nahama kutoka full furnished apartment moja kwenda nyingine. (Wakati huo wewe uko kwenye nyumba yako uliyojenga huwezi hata kuhama sababu unaimiliki, imagine maisha yako yoote uishi kwenye nyumba moja , mpaka fasheni inapita wewe umo tu)Rudi na haya mawazo ukiwa na miaka 45
Wakati wewe unatoa milion tatu kwenda kununua kiwanja chako mabwepande ndani ndani, mimi nitaichukua hiyo million tatu nikaongeze mtaji katika biashara yangu.
Wakati wewe unawalipa mafundi na kuleta trip za mchanga(let say utatumia mil 2)
Mimi hiyo m2 nitaongeza mtaji kwenye biashara yangu, wakati huo biashara itakua na mtaji wa M5 za ziada ila wewe kwako umejaza vifusi na michanga kwenye eneo la wazi probably ukijinyima kula ili ujibane upate hela uanze ujenzi mimi nikitaka kwenda samaki samaki naenda, nainjoi mpaka asubuhi.
Broo ni mengi sana aseeee!!!
Najua utasema kwenye biashara kuna hasara lakini hata kwenye ujenzi kuna hasara vile vile, unaeza kuuziwa kiwanja chenye mgogoro
Mpaka wewe unamaliza nyumba na mie business itakua imeshamiri, hata ikitokea niamue kubadili mawazo na kujenga, nitakua na uwezo wa kununua kiwanja hata mbweni na nikajenga nyumba standard kwa sababu nina backup ya strong business