Ni mpaka aje pale ofisini ili kujaza hiyo affidavit? Au unawwza mchukulia akajaza hata nyumbani then ukai submit ofcn kwao?Pole sana. Watakua walikuona una sura ya hela! Katika vitu rahisi sana kupata nchi hii ni hati ya kusafiria.
Kuhusu affidavit ya baba yako...ndugu yako aliyemzidi umri baba yako angeenda kuijaza mara moja. Haichukui hata dakika thelathini.
ni sawa bt kwa vimemoKulipa laki na nusu ni kujitakia mwenyewe.
Watu wanapata pasipoti zao ndani ya siku 3-5 kwa malipo ya sh elfu hamsini tu. Tena bila kumfahamu mtu yeyote yule hapo uhamiaji.
Hakunaga kitu kama icho, wadhamini sio lazima wawe na passportMbona kuna mtu kaniambia anahitajima pia mdhamini na mdhamini huyo nae awe na passport? Hili limekaa vipi kiongozi?
Bt lazima wawepo?Hakunaga kitu kama icho, wadhamini sio lazima wawe na passport
Hahaha usinikumbushe hiyo movie ya stamp.....stamp inauzwa tra 200/= halafu uhamiaji wapo kurasini......nilimtolea macho yule officer mpaka akaniambia nenda hapo nje kuna stationary wanauza hizo stamp buku badala ya 200/= so shauri yako hapo uende tra au ununue hapo nje......issue ya vyeti vya wazazi nilikaza mule ndani wakaniambia kama nina buku 10 kuna advocate mule ndani ana affidavit nikamuone anipe kile cheti cha kuapa mahakamani.......thanks God nilipata hati yangu the next day kwa 50,000/= tu ukiondoa hizo gharama za affidavit na stamp ila ni baada ya kusumbuana sana....imagine mtiti wote huo still nilikua na barua za kuniassist kutoka wizara ya elimu......bongo kweli magumashi!!kiongozi muongezee na vitu kama stamp duty ambazo zinauzwa TRA. Sasa hapo ndipo ataona mzunguko pasipoti inatoka uhamiaji stamp duty TRA.
sawa mkuu nitakutafuta unipe maelekezo zaidiAisee. Usifikirie kila kitu ni "vimemo". Nilichoandika ninaushahidi.
Hahaha usinikumbushe hiyo movie ya stamp.....stamp inauzwa tra 200/= halafu uhamiaji wapo kurasini......nilimtolea macho yule officer mpaka akaniambia nenda hapo nje kuna stationary wanauza hizo stamp buku badala ya 200/= so shauri yako hapo uende tra au ununue hapo nje......issue ya vyeti vya wazazi nilikaza mule ndani wakaniambia kama nina buku 10 kuna advocate mule ndani ana affidavit nikamuone anipe kile cheti cha kuapa mahakamani.......thanks God nilipata hati yangu the next day kwa 50,000/= tu ukiondoa hizo gharama za affidavit na stamp ila ni baada ya kusumbuana sana....imagine mtiti wote huo still nilikua na barua za kuniassist kutoka wizara ya elimu......bongo kweli magumashi!!
Vp kuhusu lengo la kwenda huko unakotaka wanakomaa sana au coz nahitaji kuwa nayo bt sina sehemu ya kwenda for nw just nakata kuwa nayo for in caseHivi katika hali ya kawaida wanatoa wapi ujasiri wa kudai vyeti vya wazazi?
mimi nilipata kwa sh. 80,000/= kwa siku nne!Jamani wadau,
Naomba mnisaidie kujua gharama za kupata hati ya kusafiria nje ya nchi.
Pamoja na viambatanisho unatakiwa muombaji uandike barua ya kueleza kwa nn unahitaji hiyo passport. Ndo sasa nauliza naiadress kwa nani na anuani ipi?Barua ya maombi ya nini?!
Pamoja na viambatanisho unatakiwa muombaji uandike barua ya kueleza kwa nn unahitaji hiyo passport. Ndo sasa nauliza naiadress kwa nani na anuani ipi?