Dengue
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 2,047
- 1,465
Mbona mimi Arusha hapo hapo nilipata kihalali kabisa bila hata usumbufu na siku ilipoletwa walipiga simu kwa ndugu yangu nikaifata bila hata kuombwa senti tano,ila nilimpa yule aliyeshughulikia shs 10,000/- kama asante kwa kuwa hata yeye alitumia muda wake kupiga simu kunitaarifu kuwa pass yangu imeshafika,siku hizi hamna usumbufu sana.
Hongera,Bila shaka ulitimiza vigezo vyao bila ya shida. Ulikuwa na viambatanisho vyote.