Gharama za Ukataji Passports/Hati ya kusafiria nje ya nchi

Mbona mimi Arusha hapo hapo nilipata kihalali kabisa bila hata usumbufu na siku ilipoletwa walipiga simu kwa ndugu yangu nikaifata bila hata kuombwa senti tano,ila nilimpa yule aliyeshughulikia shs 10,000/- kama asante kwa kuwa hata yeye alitumia muda wake kupiga simu kunitaarifu kuwa pass yangu imeshafika,siku hizi hamna usumbufu sana.

Hongera,Bila shaka ulitimiza vigezo vyao bila ya shida. Ulikuwa na viambatanisho vyote.
 
Mbona mimi Arusha hapo hapo nilipata kihalali kabisa bila hata usumbufu na siku ilipoletwa walipiga simu kwa ndugu yangu nikaifata bila hata kuombwa senti tano,ila nilimpa yule aliyeshughulikia shs 10,000/- kama asante kwa kuwa hata yeye alitumia muda wake kupiga simu kunitaarifu kuwa pass yangu imeshafika,siku hizi hamna usumbufu sana.
Me naongelea experience yangu at first nlikataga ile passport ya mwaka 1 gharama zake ni 10k. Uhamiaji hawatoagi cash unadeposit bank direct, sasa uhamiaji Arusha badala ya 10k ni 20k! elfu 10 cash unamwachia huyo officer uhamiaji ambaye anapokea form yako 10K nyingine ukaiweke... Huo ndo utaratibu wao hadi kesho. Passport kubwa nlikatia moro hapo ndo nkajua ufisadi wao sababu kule wanalipisha 10k iliyowekwa na serikali hakuna cha kuacha cash
 
Labda hiyo elfu 10 ya ziada ni kama elfu 5 ya polisi ya kupigia kiwi viatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Nawaza kwa sauti tu ingawa wao wenyewe ndio watakuwa na majibu mazuri ktk hili.
 
Sasa hivi watu si wanaiogopa rushwa kama ukoma? Ndiyo sababu.
 
Me naongelea experience yangu at first nlikataga ile passport ya mwaka 1 gharama zake ni 10k. Uhamiaji hawatoagi cash unadeposit bank direct, sasa uhamiaji Arusha badala ya 10k ni 20k! elfu 10 cash unamwachia huyo officer uhamiaji ambaye anapokea form yako 10K nyingine ukaiweke... Huo ndo utaratibu wao hadi kesho. Passport kubwa nlikatia moro hapo ndo nkajua ufisadi wao sababu kule wanalipisha 10k iliyowekwa na serikali hakuna cha kuacha cash
Passport kubwa 10K? Au ilikuwa zamani enzi zile?
 
Labda hiyo elfu 10 ya ziada ni kama elfu 5 ya polisi ya kupigia kiwi viatu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
Nawaza kwa sauti tu ingawa wao wenyewe ndio watakuwa na majibu mazuri ktk hili.
Wale wamezidisha, ile sio kupiga Kiwi maana Kiwi mnaweza kuelewana apunguze. Ule ndo utaratibu wao Kabisa, kama hujui unaweza ona kawaida ila ukienda mikoa mingine ndo unajua kuna tofauti
 
Hivi katika hali ya kawaida wanatoa wapi ujasiri wa kudai vyeti vya wazazi?
Yaani hiki kitu nami ndo nakiona challenge. Na cjajua kama huna chet cha mzazi ni nini kunahitajika?

Hate me at your own risk!
 
Jamani wadau,

Naomba mnisaidie kujua gharama za kupata hati ya kusafiria nje ya nchi.
andaA kilo na nusu alaf tafutA mfanyakazi wa pale uhamiaji akufanyie mpango ndani ya wiki moja mpaka mbili utakuwa umeipata bt kwa 50000/= utasubiri sanA
 
Wazazi wangu wote wamefariki na ninavyeti vyao vya kifo je siwez kupeleka? Kwan vya kuzaliwa sina....
Mkuu naona haupo makini kusoma comments, ilo swali si nimekujibu!? usipokuwa na cheti cha kuzaliwa cha mzazi unaweza peleka kiapo kutoka mahakamani. Unajaza form inapigwa mhuri unapeleka, na icho cheti cha mzazi si lazima wote hata mmoja tu so hata kiapo unafanya cha mzazi mmoja tu. Sijajuja kama wanakubali cheti cha kufa
 
Sasa kiapo cha mzazi yupi? Coz affidavit ya mtu aliyekufa? Si itakuwa uongo?
 
Nadhani kiapo inakuwaga kuthibisha uraia tu...Maana hata maswali yao ni kujua family background ya huyo mtu of which hata marehem anaweza fanyiwa
 
Hahahaaaa passport sku hiz wanapata kiurahis ila zaman hela yako ndo uharaka wako. Nilitoa laki mbili nikajaza form na Kila kitu sema nilichelewa saa sita ilishafika wakadai majina yalishapelekwa ila kesho yake nkaipata passport fasta na kunyoooka ubalozi.hahahaa Tanzania bhana naona sa hv week mbili watu wanapata tena kwa hamsn hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom