Gharama za Ukataji Passports/Hati ya kusafiria nje ya nchi

Pamoja na viambatanisho unatakiwa muombaji uandike barua ya kueleza kwa nn unahitaji hiyo passport. Ndo sasa nauliza naiadress kwa nani na anuani ipi?
Address afisa uhamiaji wa hapo ulipoapply.. Eg afisa uhamiaji Dodoma anuani waulize anuani yao
 
Ticket unaweza kukata bila visa siyo lazima uwe na visa ndo ukate ticket, ika ukiwa na barua ya mwaliko hiyo powa
 
Pamoja na viambatanisho unatakiwa muombaji uandike barua ya kueleza kwa nn unahitaji hiyo passport. Ndo sasa nauliza naiadress kwa nani na anuani ipi?
Barua ya kuomba una iadress kwa kamishna mkuu
Idara ya uhamiaji
box 512 Dar es salaam
 
Hivi cheti cha kuzaliwa cha mzazi/wazazi wanahitaji original au copy?
 
wabongo inabidi wabadilike .................inabidi shughuli kama hiyo ichukue dakika 45 tu we dont need paper work anymore...........wahusika kama mpo nitafuteni niwatengenezee online pasport application system... yaani mtu hata kama yuko mwakaleli apate huduma sawa kabisa na mtu aliyeko dar at the real time
 
Mkuu hali ya kawaida unaijua wewe na hali yako. Wao wako kazini na hivyo vyeti ni mojawapo na viambatanishi vya wewe kupata hiyo pasipoti. Sasa wewe ifanye hii siasa.
Ni cheti cha baba au mama, na copy ya passport kama ipo,
Cheti cha muombaji.

Form inahitaji watu wa5 kujaza akiwemo muhusika wa6.
Wawili mashahidi na 3 wadhamini, hii sio big issue.

Picha 8 passport size kama sikosei au 5

Issues ipo kwenye cheti cha wazazi, kati ya hawa kama hawana passport au hawajawahi kuomba ni mtihani, u naweza kuambiwa file yako haonekani, mpaka u toe kifuta jasho process itaenda quick.
 
Thanks bro
 
Nchi zingine ni haki Ya Raia Kuwa Na passport, yaani kama kitambulisho, lakini huku kwetu ni issue
 
Walinipiga dola 100 sina hamu
 
Kwa nini passport Tanzania inavikwazo sana ? Siku hizi lazima uoneshe ushahidi unaitaka kwa haja gani. .!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…