Gharama za Ulipaji Wa Mkopo Kwa Down Payment HESLB Zinahamasisha?

Gharama za Ulipaji Wa Mkopo Kwa Down Payment HESLB Zinahamasisha?

General Akudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
560
Reaction score
827
Mimi muajiriwa ninakatwa kila mwezi mkopo wa elimu ya juu, ni jambo jema kwa maendeleo ya nchi yangu hususani kuwezesha vijana wengine wasome.
Nilikuwa na nia ya kulipa sehemu ya deni langu HESLB lakini niliambiwa kuna gharama.

Tangu nikutane na habari hiyo nimeingiwa uvivu, nimeacha waendelee kukata mdogo mdogo hadi watapomaliza.

Hiyo gharama kwangu kikwazo, karibuni wenye taarifa nzuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama gani hizo tunaomba uziweke wazi
 
nitamuhoji vizuri kesho mdau na rafiki, then nitafika na taarifa nzuri kidogo.
nilichokoza mada kidogo nikitegemea humu wapo watu wenye data.
lengo heslb warahisishe taratibu kusudi watu waendelee kulipa hata nje ya mshahara bila kuwa na gharama ya nyongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwa na deni HESLB na ukata kulipa sehemu ya deni au lote. mfano unadaiwa 10m kila mwezi unakatwa kutoka mshahara wako 100,000.
ukitaka kulipa kwa mkupuo kutoka vyanzo nje ya mshahara kuna gharama za aina mbili;
administration cost
value retention fee

mfano deni 8,229,000 ukitulia na makato ya mshahara utalipa hilo mdogo mdogo miaka kibao.

ukisema ulipe ili uondokane na makato ya mwezi.
administration fee 82,290
value retention fee 4, 500,000

hizi gharama mbili jumlisha deni la inafikia kama 12m ndio ulipe hilo kumalizana nao.

Tena kwa sasa ukitaka kujua salio la deni lako TOZO 15,000

Mimi muajiriwa ninakatwa kila mwezi mkopo wa elimu ya juu, ni jambo jema kwa maendeleo ya nchi yangu hususani kuwezesha vijana wengine wasome.
Nilikuwa na nia ya kulipa sehemu ya deni langu HESLB lakini niliambiwa kuna gharama.

Tangu nikutane na habari hiyo nimeingiwa uvivu, nimeacha waendelee kukata mdogo mdogo hadi watapomaliza.

Hiyo gharama kwangu kikwazo, karibuni wenye taarifa nzuri zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa pekee ya hao bodi ni kuwaacha tu wakate deni lao mpaka litakapokwisha.
 
Msamaha tusahau ila naona wanajipa kazi bure ya hayo magarama. Watoe gharama hizo mbili ili watu wavutike kulipa madeni yao hasa wale waliojiajiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom