General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 827
Mimi muajiriwa ninakatwa kila mwezi mkopo wa elimu ya juu, ni jambo jema kwa maendeleo ya nchi yangu hususani kuwezesha vijana wengine wasome.
Nilikuwa na nia ya kulipa sehemu ya deni langu HESLB lakini niliambiwa kuna gharama.
Tangu nikutane na habari hiyo nimeingiwa uvivu, nimeacha waendelee kukata mdogo mdogo hadi watapomaliza.
Hiyo gharama kwangu kikwazo, karibuni wenye taarifa nzuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app