General Akudo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 560
- 827
Unadaiwa 10m, kila mwezi makato 110,000/. sasa ukitaka kulipa kutoka vyanzo nje ya mshahara. labda utupie kama 4m unaambiwa kuna gharama ili uweze kufanya hivyoAliyemwelewa anieleweshe
Mimi muajiriwa ninakatwa kila mwezi mkopo wa elimu ya juu, ni jambo jema kwa maendeleo ya nchi yangu hususani kuwezesha vijana wengine wasome.
Nilikuwa na nia ya kulipa sehemu ya deni langu HESLB lakini niliambiwa kuna gharama.
Tangu nikutane na habari hiyo nimeingiwa uvivu, nimeacha waendelee kukata mdogo mdogo hadi watapomaliza.
Hiyo gharama kwangu kikwazo, karibuni wenye taarifa nzuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli dawa yake ni kuwapotezea tu wakate wenyewe.Dawa pekee ya hao bodi ni kuwaacha tu wakate deni lao mpaka litakapokwisha.
Hyo ulotaka kulipa iweke sehmu izae afu wao waache waendelee kukata taratbu
Sent using Jamii Forums mobile app