Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,415
- Thread starter
- #61
Ushauri wangu mkuu..Kaka mimi nime plan, nikalime mihogo mkoa wa pwani, naomba ushahuri kwa hili, hasa kuhusu masoko etc...
Inaonekana wew una experience kwenye sector ya Kilimo.
1. Kusanya mtaji
2. Anzia sokoni
Usiingie shamba huku hujui utamuuzia nani au utauza kwa kusikia maneno ya watu shambani huko.
Mfate mteja chonga nae, then ndio UINGIE SHAMBA.
#ANZA_SOKONI.
#YNWA