Gharama za umalaya...

Kaka mimi nime plan, nikalime mihogo mkoa wa pwani, naomba ushahuri kwa hili, hasa kuhusu masoko etc...

Inaonekana wew una experience kwenye sector ya Kilimo.
Ushauri wangu mkuu..
1. Kusanya mtaji
2. Anzia sokoni

Usiingie shamba huku hujui utamuuzia nani au utauza kwa kusikia maneno ya watu shambani huko.
Mfate mteja chonga nae, then ndio UINGIE SHAMBA.
#ANZA_SOKONI.

#YNWA
 
Kuoa ngoja nifike 40's.

Its never to late in life.

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…