Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

Unatakiwa ukutane na mother house mchaga ilimuongee kichaga vizuri na utatoa tu😀😀😀
Yesuuuu na Mariaaa 🤣🤣
Faza house ni mchaga yule ambae mpk sura imekaa kichaga. Ila hizo hela namlipisha na anazitoa 😂😂

Yan namleta kwenye uchumi na ubahili na maelekezo mpk atalegea
 
Nyie nimechekaa had mbavu zinauma, kwani wachaga na wameru wana nn?

Kuna mtu nlikua namdai, had mwenzake anauliza "huyu sio mchaga au mmeru kweli.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa imeshikana na ngozi 😂😂
 
Yesuuuu na Mariaaa 🤣🤣
Faza house ni mchaga yule ambae mpk sura imekaa kichaga. Ila hizo hela namlipisha na anazitoa 😂😂

Yan namleta kwenye uchumi na ubahili na maelekezo mpk atalegea
We shombe wa kilugha ni balaa, pesa haitoki kizembe 😀
 
Kuna mambo yanafikirisha sana, unalipa 18% VAT kama kodi ya huduma ambayo kimsingi serikali inaitumia fedha hii katika miradi ya maendeleo na matumizi mengine, lakini tena unawekewa gharama ya kuchangia maendeleo na matumizi mengine ambayo ni REA 3% na EWURA 1%
Ubunifu wa mvaa tai ya bendera yetu ndio umeishia hapo,wakati kuna vyanzo vingi mno kwenye maliasili zetu zingeozewa kodi kidogo tu zingecover tozo zote hizi za kwenye umeme na miamala ya kipesa na kumpunguzia mzigo raia wa kawaida
 
Yesuuuu na Mariaaa [emoji1787][emoji1787]
Faza house ni mchaga yule ambae mpk sura imekaa kichaga. Ila hizo hela namlipisha na anazitoa [emoji23][emoji23]

Yan namleta kwenye uchumi na ubahili na maelekezo mpk atalegea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Attachments

Kuna mambo yanafikirisha sana, unalipa 18% VAT kama kodi ya huduma ambayo kimsingi serikali inaitumia fedha hii katika miradi ya maendeleo na matumizi mengine, lakini tena unawekewa gharama ya kuchangia maendeleo na matumizi mengine ambayo ni REA 3% na EWURA 1%
Inafikirisha sana ,yani double standard huwa inakemewa sana mdomoni mwa serikali kuwa ni unyonyaji na kufukuza wawekezaji Lakini yanayotendeka ni haya. Wawakilishi wetu bungeni kimyaaaaa, inauma sana.
 
Mbaya zaidi pesa zote hizo zinaishia "kupigwa" tu na hakuna anayejali,,
 
Malipo yamekamilika.
2431.1835..
9001240940257281534
23.8KWH

5312 1246 5407 3301 9597

Cost 6,967.22
VAT 18% 1254.09
EWURA 1% 69.67
REA 3% 209.02
Debt Collected 1500.00
TOTAL 10,000.00 03/04/24 02:57

Mwendo mpera mperea huu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom