Yesuuuu na Mariaaa π€£π€£Unatakiwa ukutane na mother house mchaga ilimuongee kichaga vizuri na utatoa tuπππ
Pesa imeshikana na ngozi ππNyie nimechekaa had mbavu zinauma, kwani wachaga na wameru wana nn?
Kuna mtu nlikua namdai, had mwenzake anauliza "huyu sio mchaga au mmeru kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bongo hii hii mkuu...nipo MoroDah mpo Ethiopia nini mkuu?[emoji23]
Ushahidi huu hapa [emoji116][emoji116]Dah mpo Ethiopia nini mkuu?[emoji23]
We shombe wa kilugha ni balaa, pesa haitoki kizembe πYesuuuu na Mariaaa π€£π€£
Faza house ni mchaga yule ambae mpk sura imekaa kichaga. Ila hizo hela namlipisha na anazitoa ππ
Yan namleta kwenye uchumi na ubahili na maelekezo mpk atalegea
Nafikiri mita yetu ipo kwenye zero tariff sijui wanaitaga hivyo[emoji1787][emoji1787]Nyie ndio mnatuwekea 3% ya makato ya REA [emoji3] hatari sana, kwa matumizi ya nyumbani viwango vyote vilitakiwa viwesawa tu, utofauti labla uwe kwa viwandani n.k
[emoji23][emoji23][emoji23] kwenye pesa bas ntakua nimewazidi wachaga, nazipenda kuliko msosi.Pesa imeshikana na ngozi [emoji23][emoji23]
Ubunifu wa mvaa tai ya bendera yetu ndio umeishia hapo,wakati kuna vyanzo vingi mno kwenye maliasili zetu zingeozewa kodi kidogo tu zingecover tozo zote hizi za kwenye umeme na miamala ya kipesa na kumpunguzia mzigo raia wa kawaidaKuna mambo yanafikirisha sana, unalipa 18% VAT kama kodi ya huduma ambayo kimsingi serikali inaitumia fedha hii katika miradi ya maendeleo na matumizi mengine, lakini tena unawekewa gharama ya kuchangia maendeleo na matumizi mengine ambayo ni REA 3% na EWURA 1%
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesuuuu na Mariaaa [emoji1787][emoji1787]
Faza house ni mchaga yule ambae mpk sura imekaa kichaga. Ila hizo hela namlipisha na anazitoa [emoji23][emoji23]
Yan namleta kwenye uchumi na ubahili na maelekezo mpk atalegea
Ushahidi huu hapa [emoji116][emoji116]
013...................
9002240442007459118
69.6KWH
1988 9469 3003 7517 1488
Cost 6,967.22
VAT 18% 1254.09
EWURA 1% 69.67
REA 3% 209.02
Debt Collected 1500.00
TOTAL 10,000.00
Sent using Jamii Forums mobile app
Inafikirisha sana ,yani double standard huwa inakemewa sana mdomoni mwa serikali kuwa ni unyonyaji na kufukuza wawekezaji Lakini yanayotendeka ni haya. Wawakilishi wetu bungeni kimyaaaaa, inauma sana.Kuna mambo yanafikirisha sana, unalipa 18% VAT kama kodi ya huduma ambayo kimsingi serikali inaitumia fedha hii katika miradi ya maendeleo na matumizi mengine, lakini tena unawekewa gharama ya kuchangia maendeleo na matumizi mengine ambayo ni REA 3% na EWURA 1%
Hiii inakuwaje mkuu mana mm umeme wa elfu tatu napata unit 4 tu