Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

Gharama za usajili wa gari aina ya townace kutoka Japan

dracular

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
769
Reaction score
1,069
Habarini za majukumu ndugu zangu wa Jf.

Bila kupoteza muda twende kwenye maada moja kwa moja.. Nina mpango wa kuagiza gari aina ya townace kwa ajili ya biashara nilikuwa naomba kujua kuhusu gharama za usajili ikifika hapa Tanzania mpaka iweze kuingia barabarani inaweza gharimu kiasi gani?

Lakini pia ningependa kujua kuhusu aina na ubora wa hizi gari pia kama kuna mtu ana experience ya biashara ya townace tafadhari karibu ku share idea na changamoto ya hii biashara.

Karibuni sana wadau🙏

Screenshot_20221130_101746_com.android.chrome.jpg
Screenshot_20221130_101746_com.android.chrome.jpg
 
Back
Top Bottom