Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 221 Jul 31, 2014 #1 Naombeni mnijuze hao TRA wanatozaje ushuru kwa bidhaa kutoka Ulaya?
Loly JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 522 Reaction score 221 Aug 4, 2014 Thread starter #2 Wajameni naombeni mchango wenu kuhusu ushuru wa bidhaa kama nguo from europe unatozwaje?
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 13,942 Reaction score 15,371 Aug 5, 2014 #3 Loly said: Wajameni naombeni mchango wenu kuhusu ushuru wa bidhaa kama nguo from europe unatozwaje? Click to expand... Watu wamegoma kabisa kuleta habari! Ina maana hakuna kweli anayefahamu hizi mambo? TRA jamani hampiti humu mtusaidie?
Loly said: Wajameni naombeni mchango wenu kuhusu ushuru wa bidhaa kama nguo from europe unatozwaje? Click to expand... Watu wamegoma kabisa kuleta habari! Ina maana hakuna kweli anayefahamu hizi mambo? TRA jamani hampiti humu mtusaidie?
chopeko JF-Expert Member Joined Apr 23, 2012 Posts 1,528 Reaction score 1,108 Aug 5, 2014 #4 Watakuja tu Mkuu ila kwa sasa najua wako busy MMU na Siasani maana kama ujuavyo Leo ni day one ya BMK!!!
Watakuja tu Mkuu ila kwa sasa najua wako busy MMU na Siasani maana kama ujuavyo Leo ni day one ya BMK!!!
Dumelang JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 3,204 Reaction score 5,710 Aug 5, 2014 #5 Mbona nirahs, kujua tembelea TRA huwez nyanyua simu piga huduma kwa wateja on the spot wanakujibu
Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member Joined Aug 9, 2007 Posts 18,772 Reaction score 8,939 Aug 5, 2014 #6 ndugu namini itakuwa 25%(E.duty) + 18%(VAT).