Gharama za ushuru wa bidhaa kama nguo kutoka Europe

Gharama za ushuru wa bidhaa kama nguo kutoka Europe

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
221
Naombeni mnijuze hao TRA wanatozaje ushuru kwa bidhaa kutoka Ulaya?
 
Wajameni naombeni mchango wenu kuhusu ushuru wa bidhaa kama nguo from europe unatozwaje?
 
Wajameni naombeni mchango wenu kuhusu ushuru wa bidhaa kama nguo from europe unatozwaje?

Watu wamegoma kabisa kuleta habari! Ina maana hakuna kweli anayefahamu hizi mambo? TRA jamani hampiti humu mtusaidie?
 
Watakuja tu Mkuu ila kwa sasa najua wako busy MMU na Siasani maana kama ujuavyo Leo ni day one ya BMK!!!
 
Mbona nirahs, kujua tembelea TRA huwez nyanyua simu piga huduma kwa wateja on the spot wanakujibu
 
Back
Top Bottom