Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 335
Salama wakuu,naombeni msaada kwani kuna rafiki yangu yuko kwa Bibi (Uingereza) anataka kunitumia gari la kutumia hapa mjini.ni Toyota Collora 1997,(Saloon), lakini gharama za kuikomboa gari Bandarini ni juu yangu,Kwa hiyo naomba kujua Gharama za kuikomboa hapa Bandarini (Dar) natanguliza shukrani.