taurus5270
Member
- Dec 31, 2013
- 79
- 12
GUYS NAOMBA KUFAHAMISHWA, mimi leo nimelipia gari aina ya Toyota Sienta ya mwaka 2005 CC 1500 from Beforward, kwa mwenye kufahamu ushuru wake hata roughly tu naomba anifahamishe. Gar ndio inapakiwa kwenye meli soon. Pia agent wa kunifanyia clearance. Asante.