Gharama za ushuru wa kutoa gari bandarini

Gharama za ushuru wa kutoa gari bandarini

taurus5270

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
79
Reaction score
12
GUYS NAOMBA KUFAHAMISHWA, mimi leo nimelipia gari aina ya Toyota Sienta ya mwaka 2005 CC 1500 from Beforward, kwa mwenye kufahamu ushuru wake hata roughly tu naomba anifahamishe. Gar ndio inapakiwa kwenye meli soon. Pia agent wa kunifanyia clearance. Asante.
 
angalia hapa
Welcome to GariShwari
 
Mimi ni agernt nipo Edams Holdings
call 0755 22 33 00
 
Wadau nashukuru gari yangu imeshafika, na nimeshalipia ushuru wiki iliyopita, now ipo kwenye process ya clearance, nadhani mwanzoni mwa wik ijayo ntakuwa naendesha sasa! Thanks kwa michango yenu ya kimawazo kuhusu swala hili.
 
. Nimesoma thread yako iliyoulizia gharama za kulipia gari hapa Tanzania. Naomba unisaidie kufahamu nami maana ninataka kuagiza gari kutoka be forward lakini kauli za watu kuhusu kodi kubwa zinanitisha sana. please help me. Nataka kuagiza gari ya $ 2000. 1400cc
 
Back
Top Bottom