Mento wa Magogoni
Member
- Nov 13, 2011
- 36
- 10
Ndugu wanajamvi kwa wanaofahamu naomba wanijuze,
Ninafikiria kusafiri kwenda uchina kwa lengo la biashara ya nguo.Kabla ya kufanya hivyo ningependa niyajue mambo kadha wa kadha likiwemo hili la gharama za ushuru hapa kwetu tz.nimepeleleza na kuambiwa ushuru unalipwa kutokana na cubic metre ya mzigo wako.kwa anefahamu tafadhali anifahamishe zaidi.
Pia ningependa kufahamu ni agent gani mwenye gharama nafuu na reliable kwa kusafirisha mizigo kutoka China.
Naomba kuwasilisha mada.
Hawa HSC si ndio wale walioleta shida kwa wafanyabiashara wa Kariakoo???ma container yakashikwa na TRA na bosi wao kumwagiwa tindikali???kama ndio hao mambo yao yalishagundulika,sio deal tenaHSC ndiyo mkombozi wako, wanakupa bei ya nauli pamoja na kodi bandarini unapokea mzigo ukiwa cleared unaenda kuuza tu!
Hawa HSC si ndio wale walioleta shida kwa wafanyabiashara wa Kariakoo???ma container yakashikwa na TRA na bosi wao kumwagiwa tindikali???kama ndio hao mambo yao yalishagundulika,sio deal tena