Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 4,260
- 7,033
Habarini waja JF,
Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk
Lakini fundi bei yake palepale, tell me why.
Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na kuishi maisha ya juu.
Fundi kama fundi, huwa hana utaratibu wa kujibana kula, yaani anakula kupita uwezo, asubuhi chapati 4 supu ya buku, mchana wali maini na Pepsi mkubwa wao.
Na walivyo hawapendi kuonekana hawana hela wanapenda sketi sana, jioni lazima atoke na mhudumu mmoja wa chakula, na anavyopenda kuonekana ana hela day laki ni kubwa, just imagine huyu mtu anasevu shilingi ngapi per day.
Nliwahi kuwa saidia fundi, najua vingi, ila tueleze huko kwenye kupike kuhusu hawa ndugu zetu, na tuwasaidieje ili kpato chao kikue maana wanatujengea nyumba hodari lakini wao sasa duuuuh, si wote baadhi.