Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi ngumu zote zinabitaji chakula haswa, huwezi agiza chips mayai wakati nafanya kazi ngumu, swala la kusave lipo kwa wote na akili ya kila mtu namna aonavyo, nawajua mafundi ujenzi wenye maisha fresh tu, mtu ana nyumba yake kubwa, ana mifugo, ana duka, ana tipa la mchanga kubwa, huyu ni fundi ujenzi tu, na wakati mwingine mafundi wanawazidi wengi wanaojiita maofisa mtaaniHabarini waja JF,
Wote tunajua vitu ni bei juu kwa sasa, mfano, mchele, ngano, mafuta, petrol, sabuni, gharama za usafiri, vifaa vya ujenzi, nk
Lakini fundi bei yake palepale, tell me why.
Kwa namna niliyowaza bado sipati jibu, japokuwa na kipato chao hawa watu ila hawaishiwi vibweka na kuishi maisha ya juu.
Fundi kama fundi, huwa hana utaratibu wa kujibana kula, yaani anakula kupita uwezo, asubuhi chapati 4 supu ya buku, mchana wali maini na Pepsi mkubwa wao.
Na walivyo hawapendi kuonekana hawana hela wanapenda sketi sana, jioni lazima atoke na mhudumu mmoja wa chakula, na anavyopenda kuonekana ana hela day laki ni kubwa, just imagine huyu mtu anasevu shilingi ngapi per day.
Nliwahi kuwa saidia fundi, najua vingi, ila tueleze huko kwenye kupike kuhusu hawa ndugu zetu, na tuwasaidieje ili kpato chao kikue maana wanatujengea nyumba hodari lakini wao sasa duuuuh, si wote baadhi.
View attachment 2180151
asante mkuu umewakilisha chama vyemaFuata yako tuacheeeeee
wamegusa panapoumaMbona vocha bei ileile?
tatizo chin sana90% ya mafundi wana maisha duni pamoja na kuwa na utalaam na vipaji vikubwa.
Hapo kwenye chapati nne na pespsi mkubwa wao unamuonea tu. Kula ni starehe hasa baada ya kazi ngumu.
Kinachomaliza pesa zao hawa jamaa wala sio kula.
Mishahara haijapanda kote,tusubiri mwaka mpya wa fedhaHabarini waja JF,