Gharama za vitu sasa ipo juu lakini Fundi ujenzi bei yake iko palepale

Hata wateja wao wengi mishahara ni ileile, sasa waongeze gharama ili?
 
Kazi ngumu zote zinabitaji chakula haswa, huwezi agiza chips mayai wakati nafanya kazi ngumu, swala la kusave lipo kwa wote na akili ya kila mtu namna aonavyo, nawajua mafundi ujenzi wenye maisha fresh tu, mtu ana nyumba yake kubwa, ana mifugo, ana duka, ana tipa la mchanga kubwa, huyu ni fundi ujenzi tu, na wakati mwingine mafundi wanawazidi wengi wanaojiita maofisa mtaani
 
90% ya mafundi wana maisha duni pamoja na kuwa na utalaam na vipaji vikubwa.

Hapo kwenye chapati nne na pespsi mkubwa wao unamuonea tu. Kula ni starehe hasa baada ya kazi ngumu.

Kinachomaliza pesa zao hawa jamaa wala sio kula.
tatizo chin sana
 
Mishahara haijapanda kote,tusubiri mwaka mpya wa fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…