gharama za vyumba vya kupanga za biashara kuwa juu zinafirisi wafanyabiashara

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
gharama za kupanga chumba cha biashara ziko juu sana na zinachangi kuuwa biashara za wajasiriamali.

wenye vyumba hivo wanatake advantage ya upungufu wa vyumba kuweka kodi kubwa.

vyumba vingi kwa mwez ni kuanzia laki 2 hadi 5.
bado TRA. umeme etc.
hii inafisilisi sana biashara
 
hii kupanda kwa gharama inachangiwa na pesa chafu kuna watu wanafanya biashara kama za madawa viongozi wanakula rushwa halafu wanafungua kimradi ili tu aonekane alijipatia pesa kwa kipato halali pia kuna wasomali ambao pesa zao za utekaji meli wanaziingiza nchini wamejaa sana kariakoo ukiacha wachina na wakenya hali hii pia imesababisha upandaji wa bei ya viwanja
 
gharama za kupanga chumba cha biashara ziko juu sana na zinachangi kuuwa biashara za wajasiriamali.

wenye vyumba hivo wanatake advantage ya upungufu wa vyumba kuweka kodi kubwa.

vyumba vingi kwa mwez ni kuanzia laki 2 hadi 5.
bado TRA. umeme etc.
hii inafisilisi sana biashara

ni kweli mkuu, always two things which kill most of the small businesses are ' debt and rent '.
so its better to plan well ua business before embarking on it, and u have to knw the current market status of your product and inflation rate in the country so as to be sure that ua business will carry a debt and survive the rent incurred each month. good business must be able to pay the rent within 4 to 10 days of the sale each month from.
 
sawa sawa uko sahihi
 
Back
Top Bottom