Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
gharama za kupanga chumba cha biashara ziko juu sana na zinachangi kuuwa biashara za wajasiriamali.
wenye vyumba hivo wanatake advantage ya upungufu wa vyumba kuweka kodi kubwa.
vyumba vingi kwa mwez ni kuanzia laki 2 hadi 5.
bado TRA. umeme etc.
hii inafisilisi sana biashara
wenye vyumba hivo wanatake advantage ya upungufu wa vyumba kuweka kodi kubwa.
vyumba vingi kwa mwez ni kuanzia laki 2 hadi 5.
bado TRA. umeme etc.
hii inafisilisi sana biashara