Gharama zauendeshaji wa kesi

tutaweza

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
634
Reaction score
457
Jamani wataalamu nahitaji kupata uelewa katika hili.
Imekuwa ni kawaida kusikia mtu anaposhindwa aina flani za kesi Hutakiwa kulipa gharama za uendeshaji wa kesi husika.
Nahitaji kufahamu aina ya gharama zinazozungumziwa.
Na je, mtu akiomba mnyumbuliko wa gharama hizo ili kujiridhisha kuwa ni sahihi anapewa!?
 
Ni kawaida shauri la madai unaposhindwa inatakiwa umlipe aliyeshinda .Na yeye atawasilisha madai yake mahakamani kuonyesha anadai nini na mahakama ijiridhishe ma madai hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…