tutaweza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 634
- 457
Jamani wataalamu nahitaji kupata uelewa katika hili.
Imekuwa ni kawaida kusikia mtu anaposhindwa aina flani za kesi Hutakiwa kulipa gharama za uendeshaji wa kesi husika.
Nahitaji kufahamu aina ya gharama zinazozungumziwa.
Na je, mtu akiomba mnyumbuliko wa gharama hizo ili kujiridhisha kuwa ni sahihi anapewa!?