Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Wakati tupo busy na mijadala ya Muungano naona ni bora nikumbushe watu kuhusu Bili zitazokuja na uwepo wa serikali tatu ambazo kwa bahati mbaya mimi na wewe ..ndio na wewe (usishangae) itabidi tuchangae kupitia kodi zetu. Kwa akili yangu ya kawaida siamini Rais,Wabunge na watendaji wengine kwenye serikali ya Tanganyika hawatutanga sheria za kodi ambazo zitaniumiza mimi (mwananchi) iliwapate marupurupu yao. Ningependa kupata mawazo tofauti juu ya hili suala. Karibuni.
Warioba na tume yake haijazingatia hilo, wao wameengalia manufaa ki siasa tuu
Gharama itapanda kwa nini? Kwenye maeneo gani? Kinachofanyika ni kutenganisha gharama na mapato ya muungano ili yawekwe tofauti na yale ya Tanganyika na Zanzibar.Wakati tupo busy na mijadala ya Muungano naona ni bora nikumbushe watu kuhusu Bili zitazokuja na uwepo wa serikali tatu ambazo kwa bahati mbaya mimi na wewe ..ndio na wewe (usishangae) itabidi tuchangae kupitia kodi zetu. Kwa akili yangu ya kawaida siamini Rais,Wabunge na watendaji wengine kwenye serikali ya Tanganyika hawatutanga sheria za kodi ambazo zitaniumiza mimi (mwananchi) iliwapate marupurupu yao. Ningependa kupata mawazo tofauti juu ya hili suala. Karibuni.
Wakati tupo busy na mijadala ya Muungano naona ni bora nikumbushe watu kuhusu Bili zitazokuja na uwepo wa serikali tatu ambazo kwa bahati mbaya mimi na wewe ..ndio na wewe (usishangae) itabidi tuchangae kupitia kodi zetu. Kwa akili yangu ya kawaida siamini Rais,Wabunge na watendaji wengine kwenye serikali ya Tanganyika hawatutanga sheria za kodi ambazo zitaniumiza mimi (mwananchi) iliwapate marupurupu yao. Ningependa kupata mawazo tofauti juu ya hili suala. Karibuni.
Wakati tupo busy na mijadala ya Muungano naona ni bora nikumbushe watu kuhusu Bili zitazokuja na uwepo wa serikali tatu ambazo kwa bahati mbaya mimi na wewe ..ndio na wewe (usishangae) itabidi tuchangae kupitia kodi zetu. Kwa akili yangu ya kawaida siamini Rais,Wabunge na watendaji wengine kwenye serikali ya Tanganyika hawatutanga sheria za kodi ambazo zitaniumiza mimi (mwananchi) iliwapate marupurupu yao. Ningependa kupata mawazo tofauti juu ya hili suala. Karibuni.
Mikataba ya mahusiano kwa faida ya nani?Muungano uwe wa serikali mbili au tatu.....for whose benefit? kwani kila nchi ikijienda kivyake na tukawa na mikataba ya mahusiano (bilateral agreements) kuna tatizo?
Kwa nini mnashabikia serikali mbili eti hazina gharama hakuna mtu nathubutu kushabikia serikali moja . Wanasiasa wanafiki sana
Serikali moja hamtaki alafu mnasema mnaupenda muungano tuwaeleweje ?
Gharama itapanda kwa nini? Kwenye maeneo gani? Kinachofanyika ni kutenganisha gharama na mapato ya muungano ili yawekwe tofauti na yale ya Tanganyika na Zanzibar.
Mbona mikoa na wilalaya zinavyoongezwa hamhoji kuwa gharama za uendeshaji zinaongezeka au kwa kuwa zinawafaidisha wanasiasa.
Hapa jibu ni serikalI tatu na uendeshaji tunachangia 50/50 na Zanzibar, hamna cha kusema inchi ndogo wala uchumi mdogo. kama ni gharama kwetu na Zanzibar pia ni gharama.
CCM acheni kuturubuni, hapa tulipo tu kodi zimejaa kila idara. na hazitusaidii chochote zaidi ya kuongeza deni la Taifa.
Kama haiwezekani serikali tatu moja ndio suluhisho.!
Moja HAIWEZEKANI, Mbili ZIMESHINDWA, tatu ni "gharama"!Mkubwa mimi sio CCM lakini serikali tatu siyo jawabu kwasababu itazidi kutoongezea gharama na bora umegusia serikali moja sielewi kwanini watu wanakwepa kuongelea serikali moja kwasababu pale serikali tatu zikianza kufanya kazi tutajikuta tunakodi zilizopitiliza na tutadai serikali moja au muungano uvunjuke, sasa kwanini tusifanye moja kati ya hayo sasa badala ya kupotezea muda na kuletea machungu mbeleni.
Serikali ya Tanganyika practically ndio hiyo ya muungano. Kitakachofanyika ni kuondoa majukumu ya muungano kutoka "serikali ya Tanganyika" na kuipa serikali ya muungano. Swali langu ni majukumu gani yataongezeka? Kama ni ulinzi, kwa mfano, hata sasa gharama ipo na haiwezi kubadilika/kuongezeka kwa kulitoa jukumu hilo na kulipeleka kwa serikali ya muungano.SMU kinachofanyika ni zaidi ya kutofautisha gharama na mapato kati ya Tanganyika na Zanzibar, pia wanaongeza serikali mpya ya Tanganyika na hiyo ni gharama mpya.
Wakati mwingine ni bora kuingia gharama kuliko kuendelea kupigana na kumwagiana tindikali. Wao wanataka zanzibar yao iwe huru kwa nin tung'anie au mpaka tuanze kuchinjana kama wanavyofanya wenzetu ndio tuone kuwa tunaitaji suluhu! Mh j. Warioba kafafanua vizuri sana na kajitaidi kuonesha mzizi wa fitina uko wapi lakini naona baadhi ya wajumbe akili zetu tunasaidiwa kufikirishwa na watu wengine. Unaposema unataka serikali moja je uko tayari kumfunga kamba jirani yako na kuradhimisha ale asicho kitaka ! , aliposema wamependekeza serikali tatu wananchi waliona wazi kuwa kuna serikali mbili yaani ya muungano na zanzibar kwa maana ya wazi kabisa serikali ya muungano ndio inayo simamia mambo ya tanganyika kwa kuifata katiba ya hamuhuri ya muungano wa tanzania. Wakati unapo rudi kwa upande wa zanzibar wanakatiba yao! Sasa kwanini tundelee kupigishana kelele na kushikana mashati wakati kila kitu kiko wazi ila baadhi ya watu wajifanya hawaoni (kama ujamuelewa mh, j. Warioba kapitie katiba zote mbili ndio utamuelewa anasema nini )
Mkubwa mimi sio CCM lakini serikali tatu siyo jawabu kwasababu itazidi kutoongezea gharama na bora umegusia serikali moja sielewi kwanini watu wanakwepa kuongelea serikali moja kwasababu pale serikali tatu zikianza kufanya kazi tutajikuta tunakodi zilizopitiliza na tutadai serikali moja au muungano uvunjuke, sasa kwanini tusifanye moja kati ya hayo sasa badala ya kupotezea muda na kuletea machungu mbeleni.
Basi ili kukwepa gharama inabidi muungano uvunjwe tu.Tanzania kiuchumi siyo nzuri kama mnavyodhani hatuna hayo mapato ya kuendesha hizo serikali, mnataka tuwe ombaomba hadi lini? Kwa kifupi naamini viongozi wanabidi wawe wazi kwa wananchi siyo kesho tuna serikali tatu halafu mafuta yakaaza kuuzwa 7,000 kwa litre kwasababu ya kodi, nategemea hautalalamika.