...............au kila mtu ajue lakeMbona mikoa na wilalaya zinavyoongezwa hamhoji kuwa gharama za uendeshaji zinaongezeka au kwa kuwa zinawafaidisha wanasiasa.
Hapa jibu ni serikalI tatu na uendeshaji tunachangia 50/50 na Zanzibar, hamna cha kusema inchi ndogo wala uchumi mdogo. kama ni gharama kwetu na Zanzibar pia ni gharama.
CCM acheni kuturubuni, hapa tulipo tu kodi zimejaa kila idara. na hazitusaidii chochote zaidi ya kuongeza deni la Taifa.
Kama haiwezekani serikali tatu moja ndio suluhisho.!
SMU kinachofanyika ni zaidi ya kutofautisha gharama na mapato kati ya Tanganyika na Zanzibar, pia wanaongeza serikali mpya ya Tanganyika na hiyo ni gharama mpya.
Warioba na tume yake haijazingatia hilo, wao wameengalia manufaa ki siasa tuu
Kama umesoma hapo juu mimi ningependa kodi zetu ziwe nafuu na njia pekee ni kuwa na serikali moja kama unavyosema ili tusijikute kama Kenya ambapo makusanyo makubwa ya kipato cha serikali yanaishia kwenye malipo ya wafanyakazi badala ya miradi ya maendeleo.
warioba kakiri kuwa gharama zitaongezeka lakini itungwe sheria ili kusimamia mapato na matumizi na namna jisni serilai itakavyoendeshwa kwa kuepuka gharama, hii ni ajabu kabisa kuwapa wanachi gharama mara mbili zaidi kwa lengo la kufurahishana
Wakati tupo busy na mijadala ya Muungano naona ni bora nikumbushe watu kuhusu Bili zitazokuja na uwepo wa serikali tatu ambazo kwa bahati mbaya mimi na wewe ..ndio na wewe (usishangae) itabidi tuchangae kupitia kodi zetu. Kwa akili yangu ya kawaida siamini Rais,Wabunge na watendaji wengine kwenye serikali ya Tanganyika hawatutanga sheria za kodi ambazo zitaniumiza mimi (mwananchi) iliwapate marupurupu yao. Ningependa kupata mawazo tofauti juu ya hili suala. Karibuni.

Katika watu wajinga ambao sijui hata mmewezaje kuwa wana JF, ninyi WILE na MNAMBOWA kweli mmetia fora. Eti Warioba na tume yake hawajazingatia suala la gharama! Hii mmetoa wapi? Mmeisoma Raismu yote kama ilivyotolewa au mnabwabwaja tu kama mazezeta? Mnapata wapi jeuri ya kuchangia na kuanza kulalama kumbe hata Rasimu yenyewe kama ilivyotolewa na Mh. Jaji Sinde Joseph Warioba hamjaisoma? This is stupidity at its peak and how I hate stupidity! Point za kipuuzi kama hizi heri zipigwe marufuku kwani zinashusha hadhi ya JF.Warioba na tume yake haijazingatia hilo, wao wameengalia manufaa ki siasa tuu
Katika watu wajinga ambao sijui hata mmewezaje kuwa wana JF, ninyi WILE na MNAMBOWA kweli mmetia fora. Eti Warioba na tume yake hawajazingatia suala la gharama! Hii mmetoa wapi? Mmeisoma Raismu yote kama ilivyotolewa au mnabwabwaja tu kama mazezeta? Mnapata wapi jeuri ya kuchangia na kuanza kulalama kumbe hata Rasimu yenyewe kama ilivyotolewa na Mh. Jaji Sinde Joseph Warioba hamjaisoma? This is stupidity at its peak and how I hate stupidity! Point za kipuuzi kama hizi heri zipigwe marufuku kwani zinashusha hadhi ya JF.