Gharama zinazotozwa Muhimbili Hospital kuwahudumia “Watoto njiti” zinatuumiza tunaouguza

Umepuyanga.
Wewe ndiye umepuyanga kwa kuandika kirahisi tu "umepuyanga" bila kuonesha wapi nimepuyanga.

Kusema watu wanatakiwa kuwa na mpango wa ku support watoto wao kabla ya kuwazaa ni kupuyanga kivipi?
 
Kama mzazi mwenye mtoto aliyezaliwa kabla ya muda (njiti) najua jinsi gani ilivyo ngumu kwenye malezi yake, Mungu awasaidie.
 
Suala si kwamba alikuwa anamtaka mtoto njiti ama la.

Suala ni kwamba, watoto huzaliwa njiti na watu wanatakiwa kuwa na mpango wa kumuokoa mtoto ikiwa atazaliwa njiti.

Kwani watu wanapokata bima ya ajali gari likioata ajali walipwe wanakuwa wamepanga kupata ajali? Si ni mpango tu wa kujilinda kiuchumi mtu akipata ajali.

Sasa hapo kwenye unjiti huelewi wapi dhanq nzima ya kupangikia mambo ya kujiandaa kabla ya wakati?
Kwahio mkuu unafikiri kila raia wa Tz anaweza kuandaa hio 5m kabla ya kuzaa? Mtoto wangu alizaliwa njiti, alikaa hospital almost mwezi gharama zikikuwa millions. Unafikiri kila Mtanzania anaweza kujiandaa na dharura hio? Kama jibu lako haiwezekani kwahio watu wa aina hii hawapaswi kuzaa watoto? Kama ingekuwa hivyo leo hii Tz ingekuwa na watu wangapi wenye watoto?
 
Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Ambapo kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya Wazazi ambao wamejifungua Watoto Njiti kutozwa gharama kubwa hali ambayo inatufanya wengine kulazimika kuweka bondi ya mali zetu au kukopa ili kupata fedha za kulipia kupata watoto.

Baadhi ya sisi wazazi ambao tumekumbana na changamoto hiyo kwa kukaa Hospitalini kwa muda wa wiki moja hadi mbili tumekuwa tukitakiwa kulipa kati ya Shilingi Milioni 2 hadi 6.

Hali hii inasababisha baadhi ya Wazazi hasa wenye hali duni Kiuchumi kulazimika kuweka bondi ya mali au vitu vya thamani kwa lengo la kupata fedha ili matibabu yakiisha tuweze kuruhusiwa hospitalini.

Hali hii imeongeza maumivu kwa baadhi ya wazazi huku wengine wakifikia hatua ya kutaka kutelekeza Watoto hao hospitalini kutokana na gharama kuwa kubwa.

Matukio mawili ya hivi karibuni, wapo wazazi waliambiwa kama wanataka kuchukua Watoto wao watoe Shilingi Milioni 5 lakini baada ya Wazazi hao kudai kuwa hizo ni pesa nyingi kwao ndipo waliambiwa watoe Shilingi Milioni 3, kinyume na hivyo wakaambiwa hawezi kupewa Watoto, hali ambayo imewalazimu nao kuuza na kuweka bondi baadhi ya mali ili kupata fedha hiyo.

Nimelazimika kuandika hapa baada ya kuona wenzangu yamewakuta wakiwa hawana uwezo wa kulipia gharama hizo.

Nitoe wito kwa Wizara ya Afya pamoja na mamlaka nyingine za Kiserikali kufuatilia kwa ukaribu suala hili kwa sababu limekuwa kilio kwa wengi.

Kulingana na hali ya maisha gharama hizo ni kubwa, sio rahisi Wananchi hasa wenye kipato duni kuzimudu hali ambayo binafsi nahofia kuna wakati baadhi ya wazazi wanaweza kushindwa kuzimudu na uenda wakati mwingine ikawa inapelekea changamoto ya kutohudumiwa ipasavyo kwa wakati na kusababisha vifo kwa watoto njiti jambo ambalo tungeweza kuliepuka kwa kuweka gharama au utaratibu rafiki kwa wahusika.

Kama endapo huduma za kuwahudumia Watoto Njiti ni ghali sana basi mamlaka ziongeze uwekezaji katika eneo hilo kwa lengo la kusaidia wazazi wanaojifungua watoto njiti ili kuepuka makali ya gharama ambayo yanafanya baadhi wafikie hatua ya kuuza mali ambazo pengine zingewasaidia katika kugharamikia matunzo ya watoto hao.

Nilipouliza wanadai Mashine zinazotumiwa na Watoto hao wanaozaliwa kwamba zipo chache na zina gharama kubwa katika uendeshaji wake, kama ni hivyo, basi naomba Serikali iingilie kati kujua namna ya kutusaidia Wananchi wake wenye kipato cha kawaida.

Pia soma
~
Watoto njiti zaidi ya laki mbili Nchini huzaliwa kwa mwaka
~ Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini
Kuna jirani pia kazaa mtoto njiti alilazwa hospitali ya mloganzila ,gharama waliyotozwa ni kubwa sana utafikiri ile hospitali ni ya watu binafsi sio ya serikali.
 
T

Lipen bima mnahisi atupendi kuzitumia hizo hela tunapeleka bima
Polensana
 
Kwahio mkuu unafikiri kila raia wa Tz anaweza kuandaa hio 5m kabla ya kuzaa? Mtoto wangu alizaliwa njiti, alikaa hospital almost mwezi gharama zikikuwa millions. Unafikiri kila Mtanzania anaweza kujiandaa na dharura hio? Kama jibu lako haiwezekani kwahio watu wa aina hii hawapaswi kuzaa watoto? Kama ingekuwa hivyo leo hii Tz ingekuwa na watu wangapi wenye watoto?
Hapo ndipo akili yako ilipoishia. Kwenye pesa. Kiasi specific. Million 5.

Ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.
 
Sitaki kuwa na heshima, nataka uhuru wa kuandika ninachopenda.

Ukweli ni kwamba ukianza kumleta mtoto duniani bila ya kuwa na mpango ikiwa atazaliwa njiti utafanya nini, umemkosea sana huyo mtoto.

Hili ni jambo la wazi kabisa.
Ndiyo uandike vitu vya maana pamoja na huo uhuru hasa kwenye mada muhimu kama hii
 
Hapo ndipo akili yako ilipoishia. Kwenye pesa. Kiasi specific. Million 5.

Ndipo uwezo wako wa kufikiri ulipoishia.
Wewe akili yako imeishia wapi? Unaongea as if unaishi dunia fulani uko peke yako. Unafikirj ukiweza wewe kulipia gharama za matibabu kila mtu anaweza. Yaani kama yule alieshangaa watu kuandamana kisa bei ya mkate kuoanda na kuuliza kwanini wasinunue keki.
 
Nakwambia hivii, akili yako fupi. Katika mazungumzo yote ulipoishia ni kwenye gharama tu.

Huwezi kufanya mazungumzo marefu ya kifalsafa, kwa sababu akili yako fupi inaishia kwenye kuangalia gharama tu.

Hatuwezi hata kufika kwenye mazungumzo yenye tija ya gharama zimekujaje na zinapunguzwa vipi.

Nikitaka kwenda huko unanizuia kwa inferiority complex yako yu.

Mimi nimeelezea habari ya watu kuwa na mipango ya kukabiliana na hizi hali kabla ya kuzaa. Hii ni hoja tofauti na hoja ya watu kuwa na pesa za kumudu gharama kabla ya kuzaa.

Unaweza kuwa na pesa halafu usitoboe, kwa sababu ya kukosa mawazo na connection.

Ila wewe kwa uguluguja wako umeishia kuona gharama na pesa tu kama ndiyo mwisho wa mazungumzo.

Watu kama nyie kiukweli kabisa hamtakiwi hata kuzaa, mtajaza matatizo tu duniani.

Basi tu mnaruhusiwa kuzaa kwa sababu ni haki ya kibinadamu.

Hamuwezi hata kufanya fikra tunduizi za kidhahania.
 
Huna hoja. Mwenye akili fupi anaonekana hapa ni nani.
 
Licha ya Mamlaka za Kiserikali pamoja na Wadau kueleza mipango mikakati na kuchukua hatua mbalimbali za kupunguza vifo vya Mama na Mtoto hasa vinavyotokana na Watoto Njiti (Watoto waliozaliwa kabla ya muda) lakini hali inaonekana kuwa sio shwari katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Ambapo kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na malalamiko kutoka kwa baadhi ya Wazazi ambao wamejifungua Watoto Njiti kutozwa gharama kubwa hali ambayo inatufanya wengine kulazimika kuweka bondi ya mali zetu au kukopa ili kupata fedha za kulipia kupata watoto.

Baadhi ya sisi wazazi ambao tumekumbana na changamoto hiyo kwa kukaa Hospitalini kwa muda wa wiki moja hadi mbili tumekuwa tukitakiwa kulipa kati ya Shilingi Milioni 2 hadi 6.

Hali hii inasababisha baadhi ya Wazazi hasa wenye hali duni Kiuchumi kulazimika kuweka bondi ya mali au vitu vya thamani kwa lengo la kupata fedha ili matibabu yakiisha tuweze kuruhusiwa hospitalini.

Hali hii imeongeza maumivu kwa baadhi ya wazazi huku wengine wakifikia hatua ya kutaka kutelekeza Watoto hao hospitalini kutokana na gharama kuwa kubwa.

Matukio mawili ya hivi karibuni, wapo wazazi waliambiwa kama wanataka kuchukua Watoto wao watoe Shilingi Milioni 5 lakini baada ya Wazazi hao kudai kuwa hizo ni pesa nyingi kwao ndipo waliambiwa watoe Shilingi Milioni 3, kinyume na hivyo wakaambiwa hawezi kupewa Watoto, hali ambayo imewalazimu nao kuuza na kuweka bondi baadhi ya mali ili kupata fedha hiyo.

Nimelazimika kuandika hapa baada ya kuona wenzangu yamewakuta wakiwa hawana uwezo wa kulipia gharama hizo.

Nitoe wito kwa Wizara ya Afya pamoja na mamlaka nyingine za Kiserikali kufuatilia kwa ukaribu suala hili kwa sababu limekuwa kilio kwa wengi.

Kulingana na hali ya maisha gharama hizo ni kubwa, sio rahisi Wananchi hasa wenye kipato duni kuzimudu hali ambayo binafsi nahofia kuna wakati baadhi ya wazazi wanaweza kushindwa kuzimudu na uenda wakati mwingine ikawa inapelekea changamoto ya kutohudumiwa ipasavyo kwa wakati na kusababisha vifo kwa watoto njiti jambo ambalo tungeweza kuliepuka kwa kuweka gharama au utaratibu rafiki kwa wahusika.

Kama endapo huduma za kuwahudumia Watoto Njiti ni ghali sana basi mamlaka ziongeze uwekezaji katika eneo hilo kwa lengo la kusaidia wazazi wanaojifungua watoto njiti ili kuepuka makali ya gharama ambayo yanafanya baadhi wafikie hatua ya kuuza mali ambazo pengine zingewasaidia katika kugharamikia matunzo ya watoto hao.

Nilipouliza wanadai Mashine zinazotumiwa na Watoto hao wanaozaliwa kwamba zipo chache na zina gharama kubwa katika uendeshaji wake, kama ni hivyo, basi naomba Serikali iingilie kati kujua namna ya kutusaidia Wananchi wake wenye kipato cha kawaida.

Pia soma
~
Watoto njiti zaidi ya laki mbili Nchini huzaliwa kwa mwaka
~ Serikali na Mkakati wa Kupunguza Vifo Vya Watoto Njiti Nchini
Mkuu
Tujitahidi bima
 
Huna hoja. Mwenye akili fupi anaonekana hapa ni nani.
Akili fupi ni wewe uliyekimbilia kuona gharama tu bila uwezo wa kuichambua hiyo gharama na kuipunguza, kitu ambacho ndiyo msingi wa hoja yangu ya kwamba watu wajipange kabla ya kuzaa.

Wewe unatetea kuzaana kama sungura halafu kulaumu gharama.

Wewe huna tofauti na sungura anayezaa bila mpango.
 
Poleni sana, nchi zilizoendelea wanatambua gharama za kumuhudumia mtoto njiti mpaka akomae arudishwe kwa wazazi wake, hivyo gharama zile hubebwa na serikali hizo na mzazi akikabidhiwa mtoto sasa wanaendelea kumlea kawaida, baada ya kukomazwa kwenye mazingira ya kitaalam yenye kukidhi mahitaji ya mtoto njiti.
Serikali yetu inapaswa kugharimia hayo.
 
Hao wenzetu wanaweza kufanya hivyo kwa sababu wana uzalishaji mkubwa, exports nyingi, uchumi mzuri, wigo wa kodi mzuri. Idadi za watu zinazostahimilika, watu wameelimika, uzazi wa mpango, uongozi bora, utamaduni wa watu mzuri.

Sasa kwetu uzalishaji mdogo, exports ndogo, uchumi mbaya, wigo wa kodi mdogo, idadi ya watu kubwa, wajinga wengi, na idadi ya watu inazidi kufumuka kila siku, kila mwaka tunaongeza watu karibu 3% ya population.

Mtu anazaa watoto 7 kama yupo kwenye mashindano ya kuzaa, halafu uzalishaji wake kiuchumi ni mdogo, utamsaidiaje kwa huduma za bure bila ku haribu uchumi.

Zaidi ya yote, uongozi mbaya nanutamaduni wa watu mbaya.

Huduma kama hizo tutaziweza vipi?
 
Watu ukiwaambia mambo kama haya wanataka kubebwabebwa tu.

Wanataka kuzaana kama sungura bila mpango, halafu wanalaumu gharama.

Yaani Umepata HASIRA kwa maisha yasiyokuhusu, mwenye pesa wewe unayewezs kuzaa muda wowote. Sasa sepa kafungue uzi wako, acha yanaowahusu walalamikie wanayotaka. Haujalazimishea kuandika yako kwa uzi wa mwingine na wewe hata haujapitia haya.
 
Back
Top Bottom