Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
MHE. GHATI CHOMETE AHOJI UJENZI WA BARABARA YA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKELA KIWANGO CHA LAMI.
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete leo tarehe 28 Januari, 2026 akiwa katika Mwendelezo wa Bunge la 13, Mkutano wa 2, Kikao cha 2 amehoji kuhusu mkakati wa Serikali kuanza ujenzi wa barabara ya Musoma-Makojo-Busekela yenye urefu wa KM 92 kwa kiwango cha Lami.