Ghati Chomete ashiriki ibada ya mazishi ya Lukuvi, Iringa

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
GHATI CHOMETE ASHIRIKI IBADA YA MAZISHI YA MHE. LUKUVI, IRINGA

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete (Mb), tarehe 31 Machi 2026 alishiriki ibada ya mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Ismani, Marehemu Mhe. William Vangimembe Lukuvi.

Ibada hiyo ya mazishi ilifanyika nyumbani kwa Marehemu, katika kijiji cha Idodi, mkoani Iringa.
 

Attachments

  • c7d3eb0fdb2b4b92a395ce171d2d2680.jpg
    78.8 KB · Views: 25
  • IMG-20260401-WA0018.jpg
    82.3 KB · Views: 26
Hawa wabunge wa viti maalum wengi maeneo yao ya siri yamechakaa sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…