zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
Mkuu umepaniki tu jamaa kaweka uzi kwa lugha ya kejeri nafikiri umeshindwa kugundua hilo
kwa akili yake ya ushabiki maandazi ndio kaona hilo ni gheto kali loh? kuna shida sana mahali. kiufupi umasikini ndio unatufanya tuwe na akili mbovumbovu , ndiomaana tunaishia kukaa chini mashuleni huku mbunge anatembelea V8 ya mil 200, na maji pia tunakunywa ya kisima pamoja na ng'ombe huku mbunge anakunywa ya chupa ,na kuna wengine hata wanayaogea ya chupa