Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

Kwa hiyo unaogopa Kaka au?yaani MTU ambae mmepanga muoneshane na mzigusanishe nyuchi zenu kabisa,,unaogopa kumwambia tupambane,,kwani yeye anafikiri vinapatikana kiurahisi,,,ingekuwa vinapatikana kiurahisi asingeuza uchi na kukosoa kiurahisi rahisi mambo yasiyo mhusu!!

Siogopi Mkuu.
Ishu ni kuwa pisikali nyingi za kibongo ni marufuku kuziambia maneno ya karaha kama hayo😂
 
Wakuu sio kuremba tu geto lako fanya uwe na maisha binti zako wasijebabaisha na visent na vigeto uchwara visivyoeleweka
 
Binafsi kumleta gettho/home dawiri wa one night stand kidogo sioni kama imekaa vizuri. Fujo zote nivyema kumalizia guest, lodge au hotel. Fiancee kidogo angalau.
Kuna pisi hazitaki mambo ya lodge
 
Akusogelee nani, umepinda, sio kwa matapeli tu hata kwa watu wa kawaida umepinda, wanaokusogelea nao wamepinda,hawajielewi.

😂😂
Raha ya mwanaume uambiwe hivi na Wanawake matapeli.

Ukiona mwanaume unasifiwa na Wanawake matapeli ujue kuna sehemu unakosea
 
Wapi nimesema kila Mwanamke Tapeli?
Wanawake wenye Akili zao ndio wanajua ninazungumzia nini.
Matapeli na wanyonyaji lazima wanione nimepinda
Wewe kila siku topics ni hizi hizi za kuponda wanawake,utasema unachukulia wanawake in postive way??? kila mtu anajua unachukulia wanawake kama matapeli wanyonyaji, wanawake wenye akili zao wewe huwajui,hawajawahi kukusogelea....upo tu
 
Sawasawa!
Acha wanione hivyohivyo.

Matapeli hawawezi kusogea
 
Back
Top Bottom