Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

Ni afadhali umesema "Hawa" na hakusema "Sisi" kumaanisha wewe haupo miongoni mwao. Hilo pekee kwangu linanifanya nikuheshimu Kwa kujitambua.
Sipo miongoni mwao, mbona hilo unajua siku nyingi, nisogelee jitu ambalo liko twisted kama wewe, nishakuambia wewe wanaokusogelea ni ambao hawajitambui/hawajielewi.
 
Sipo miongoni mwao, mbona hilo unajua siku nyingi, nisogelee jitu ambalo liko twisted kama wewe, nishakuambia wewe wanaokusogelea ni ambao hawajitambui/hawajielewi.

😂😂
Wewe inakusumbua popote Mimi kusogelewa na Wanawake wa aina uisemayo?
Kitu pekee ambacho sitakubali ni kusogelewa na Wanawake wa aina yako. Jambo hilo linakuumiza Mno. Pole Sana Anitha, tafuta kunguru wenzako ambao mnambawa nyeusi.
Mimi nipo kwaajili ya Njiwa Weupe tuu.
 
Njiwa weupe huwajui,hakuna njiwa nyeupe aliyekusogelea, utakua una makengeza nyeusi unaita nyeupe..

Yaani wewe Robert ndio unisumbue mimi, mimi nakuonaga mpuuzi fulani unayehitaji tiba ya kisaikolojia, wanawake wameku torture mpaka unawaona kama ni mazimwi,hata hii thread yako ni evidence.

Usijihangaishe siwezi kukusogelea,sisogelei watu waliopinda mimi.
 

Pole Sana Kunguru mweusi.
Ulimwengu wangu na wako ni tofauti Kabisa.
 
Leo ndo nikajua Kuna sabuwufa za kisukuma, Ila Hawa wenzetu mnawaoneaga Sana jamani dah!
 
Na kadiri unavyokua mkubwa unachoka kuongeaongea.
Maneno mengi Wakati mwingine ni dalili ya utoto na uvulana.
Watu wanataka waone vitu vikifanyika.
Sio blah! Blah! Blah!

Siku hizi nimekuwa sina maneno mengi.
Eeeh Hatimae unaanza kukua mkubwa mpare wangu😍😍😍😍
 
Ama kweli umaskini ni mbaya sana. Yaani hiyo sijui pili kali kuambiwa atapewa laki 1 kachangavyikiwa.
 
Dah! Wengine wanakataa hadi kuangalia TBC channel kisa sijalipia kifurushi
 
Hahahhahaha unaingia sehemu hadi unajiuliza “Mungu wangu nimelogwa nini? Hivi nafanya nini hapa? [emoji23][emoji23][emoji23]”. Chumba kama dampo hahahaha
Umenikumbusha mbali.kuna wanaume ndani ni wachafu hatarii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Itakuwa alikuwa amekua sana kiakili, Alijua anachotaka. Pole man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…