Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

Tycoon usiruhusu watu washike account account yako.ona wanavyoandika nzuzi famba kama hii.wanakukosea adabu tycoon
 
Hichi kitu kishanitokea demu kanikubali kabisa nampeleka geto kumla mzito tena tumepitia kinywaji liquor store...!,duuu Ile kuiona tu nyumba nayoishi demu kachoka.

Kufungua geto ndio kabisaa ukuta umelika Kwa chumvi...!,demu akapata simu ya dharura ghafla......!
Tupambane wakuu mionekano yetu ya nje iendane na sehemu tunazoishi.....!
 
Nilipata mtoto flan wa kishu wa kishua sana yupo chuo pale UDSM sas nilishangaa mtoto mwenyew ndo aliomba kuja gheto nilishangaa nkajua labda mtoto anataka show, kwel bwana amanita ratiba cku ikafka akaibuka gheto,

Nakumbuka tulikiss sana ila dizian mwanzo alikuwa kam mnyonge hv baad ya kufika magetoni nikajitaid kumchangamsha akawaanaleta ushirikiano kimtindo nilimchezea sana lakin alikataa kabs kutoa game ingawa kabs alikuwa kweny hali ya hisia kali sana lakin alinikazia.

Baad kama ya cku mbili alinitext niache kutuma sms na kupiga cm pia haoni connection yeyote kati yangu na yeye, hapo ndio ukawa mwisho wa mim na yeye tukawa paka na panya ata uwa akijaga kwao kutoka chuo hataki hat kuniangalia usoni,
Kiukweli niliumia coz nilishampenda.

Wanaume tutafute pesa kadri ya uwezo wetu hawa viumbe Hawana huruma na wanaume maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…