Wakati 50 anajaribu kubreak the mainstream kuna beats kibao maproducer walikuwa nazo hazina watu wa kuzitumia unaambiwa wasanii walikua hawawezi zitumia lakini 50 akiingia booth ana rap kama kazitengeneza yeye!
Hivi unajua beat la 'In Da Club' lilitengenezwa kwa ajiri ya kundi la D12 lakini wakashindwa litumia ikabidi 50 apewe, akaua na matokeo ya hiyo nyimbo fatilia.
Hivi unajua beat ya gharama zaidi miaka hiyo ilikua Candy shop by Scott scorch!?.
Unajua unaposema ana chuki kisa hana mafanikio unashangaza. unajua 50 ndio msanii wa kwanza duniani kuingiza nyimbo 3 top 5 Billboard ndani ya wiki ya kwanza "Candy Shop, Disco Inferno na How We Do."
50 hana chuki isipokuwa mazingira aliyokulia ya beef sana na kama hujui beef la Jah rule na 50 moja ya sababu ni kuwa 50 alikuja kumshusha popularity Jah rule!.
Lile Jengo zima la Mike tyson 50 alilinunua kwa nyimbo ya 'In da Club' pekee.
Unajua Mobb Deep waliwahi kumilikiwa na 50 kwenye G-Unit na jamaa akawapa wote magari ya Porsche (Prodigy na Havoc).
Tony Yayo, Busta Rhymes na Rakim walipewa beat ya Heat wakashindwa kuiimbia, 50 akapewa akaua unasemaje jamaa ni kick.
Unajua jamaa ana BET, Billboards, Grammy Awards na Tuzo nyingne ngapi!?. au mafanikio kwako ni yapi!?.
Unajua 50 aliwahi fika hadi top 5 ya wasanii matajiri zaidi duniani? mafanikio yapi ya kick hapo au forbes nao wanahesabu hadi kick?.
Kifupi kila kitu kina downfall kipindi cha 50 Cent kimepita kama kilivyo kipindi cha Jigga, Nas, Lil wayne na wengine.
Eti wewe ndio wa kusema 50 hakupigwa risasi 9 really!?.. Ina maana unapingana na ripoti za NYPD?.
Umeongea pumba sana!!..rudi research
Unasema 50 cents hana chuki ila ni mazingira aliokulia.
This is paradoxy anyway...[emoji115] [emoji2]
Sio JaRule tu, kuna
Amefanya bifu na akina Fat joe, JadaKiss, The Game, Diddy just to mention the few.
Alipokua rich ni mazingira gani aliokulia ambayo ma Rappers wengine mashuhuri hawajapitia? Huyu jamaa ni psycho.
From rags to riches.
EmineM unaeza mpa excuses alikua anakua.
Hata muziki wake una reflect mabadiliko aliokua anapitia ya kiumri.miaka ile hata mie nilikua fan wake kwakweli. Na Eminem ana rekodi zake ambazo hazijawahi kuvunjwa mpaka kesho.
Na kusema ukweli, Eminem bado Tajiri namba Nne duniani kwa utajiri. He have fame, and Success at his hands. Utajiri wa Dola milioni 100 akifuatiwa na Drake, Dr.Dre, Diddy na kinara wao anawaongozea JayZ.
Eminem na Dre ndio walimtoa 50 Cents ambaye ni kichwa panzi.
50Cents kamwe hawezi stahafu muziki kwasababu ndio injini ya Maisha yake hivi sasa.
Hao wakina Diddy, JayZ, and the Like wanaweza kua afford ku-retire hiphop. They have done everything in the Music.
Ni kama uwe fans wa "Mike Tyson" ambaye naye kachoka.
Hivi unaanzaje kua fan wa Tyson na 50 Cents?
Unajifunza kitu gani kwa hawa wavuta Bangi?. Tyson kakamatwa na bangi mara kadhaa. Ni hiyo mikwara ya kitoto ndio inakuvutia? They have no brains.