Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

Ungekuwa nondo kiasi hicho class ungetisha sana mwana
 
Hao unawataja wote wana nyimbo za matusi na za kishetani. Usiwe hater kijana. Didy ni GAY tu yule why 50 awe nae karibu ili apate nini hasa....
50 yuko full kwa movie/tv shows now.
 
Unasema 50 cents hana chuki ila ni mazingira aliokulia.
This is paradoxy anyway...[emoji115] [emoji2]

Sio JaRule tu, kuna
Amefanya bifu na akina Fat joe, JadaKiss, The Game, Diddy just to mention the few.

Alipokua rich ni mazingira gani aliokulia ambayo ma Rappers wengine mashuhuri hawajapitia? Huyu jamaa ni psycho.

From rags to riches.
EmineM unaeza mpa excuses alikua anakua.
Hata muziki wake una reflect mabadiliko aliokua anapitia ya kiumri.miaka ile hata mie nilikua fan wake kwakweli. Na Eminem ana rekodi zake ambazo hazijawahi kuvunjwa mpaka kesho.


Na kusema ukweli, Eminem bado Tajiri namba Nne duniani kwa utajiri. He have fame, and Success at his hands. Utajiri wa Dola milioni 100 akifuatiwa na Drake, Dr.Dre, Diddy na kinara wao anawaongozea JayZ.

Eminem na Dre ndio walimtoa 50 Cents ambaye ni kichwa panzi.

50Cents kamwe hawezi stahafu muziki kwasababu ndio injini ya Maisha yake hivi sasa.

Hao wakina Diddy, JayZ, and the Like wanaweza kua afford ku-retire hiphop. They have done everything in the Music.

Ni kama uwe fans wa "Mike Tyson" ambaye naye kachoka.
Hivi unaanzaje kua fan wa Tyson na 50 Cents?

Unajifunza kitu gani kwa hawa wavuta Bangi?. Tyson kakamatwa na bangi mara kadhaa. Ni hiyo mikwara ya kitoto ndio inakuvutia? They have no brains.
 
Kwa bahati mBaya, huyo 50Cents alichanwa na kanisa kavukavu. Na akawa expel officially na kuzuiwa kukomunika kwa muziki wake ulioitwa na kanisa kuwa wa kishetani zaidi.
 
Sio JaRule tu, kuna
Amefanya bifu na akina Fat joe, JadaKiss, The Game, Diddy just to mention the few.
Back in the days Rapa gani asiye na beef unayemjua wewe!?..

Na kusema ukweli, Eminem bado Tajiri namba Nne duniani kwa utajiri. Dola milioni kwa utajiri wa milioni100 akifuatiwa na Drake, Dr.Dre, Diddy na kinara wao JayZ.
Naomba hii source yako aseh!!..Yani Jigga kawa namba 1????...Duh

Eminem na Dre ndio walimtoa 50 Cents ambaye ni kichwa panzi.
50 hajawahi kataa hilo na anakwambia kuna kipindi wakati huo underground hamjui Eminem alipomsikia Jamaa akirap akasema "this white boy is saved!". Hivi unajua makampuni kibao yalikuwa yanamtaka 50 cent lakini jamaa out of luve akasaini shady entertainment kwa just 1 million?.
Hivi unajua lil wayne alimtoa Drake lakini leo hii Drake kamzidi hadi boss wao Birdman fedha!. Usirudie sema kisa mtu kakutoa basi atakuzidi fedha daima (refer wizkid na banky w)
Unajifunza kitu gani kwa hawa wavuta Bangi?. Tyson kakamatwa na bangi mara kadhaa. Ni hiyo mikwara ya kitoto ndio inakuvutia? They have no brain.
50 hajawahi tumia vilevi hivyo na kama unamshabikia back in the days rappers kama Jay Z, Didy, Jah rule, DMX hauna tofauti na hao unaoita "wavuta bangi"!!..

still unaongea pumba!!.
 
Kwa bahati mBaya, huyo 50Cents alichanwa na kanisa kavukavu. Na akawa expel officially na kuzuiwa kukomunika kwa muziki wake ulioitwa na kanisa kuwa wa kishetani zaidi.
Kanisa ni nani kumchagulia mtu cha kuvaa!?...
Mbona hawajam expell Trump aliyesema hawana ulinzi zaidi yake!?..
Jiongeze wewe mlokole!..get out of that box!
 
Mkuu p diddy na jay z kwani watu wa Hop Hop?
 
Mkuu ni lini 50 aliya kataa makampuni mengine???ilikuwa baada au kabla ya kujulikana???
 
Ndo shida ya wabongo wanaamini kusoma ndo kila kitu,wakati kuna mtu kaishia darasa la saba ana maisha mazuri kuliko wewe elimu yenyewe ya kikoloni umesoma shule za kata huko then unajifanya umeelimiaka,Pumbavu
Finish!!!..
 
Wakati Beef la 50 na Fat Joe limefika pabaya,Fat Joe akaongea na vyombo vya habari anamuomba 50 beef liwe kwenye nyimbo Tu wasije wakataftana mtaani coz anajua Curtis mtu WA aina Gani..FIF,FERRARI..daah mmenikumbusha years ago
50 alikuja kumalizwa na Rozee
 
Hao unawataja wote wana nyimbo za matusi na za kishetani. Usiwe hater kijana. Didy ni GAY tu yule why 50 awe nae karibu ili apate nini hasa....
50 yuko full kwa movie/tv shows now.
Utajiri alionao Didy 50 ataishia kuuota ndotoni tu
 
mengine yote nakuunga mkono,but suala la 50 kukataa hela kutoka labels zingine SI kweli,hakua na record deal baada ya mwanae kufa,karecord mix tape akiwa Canada,,after eminem kumskia kwnye guess who's back..ndio kamuita 50,..bahati nzuri PIA 50 hakua broke wakati anakutana na eminem..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…