Ghetto Qura'n na kisa cha 50 Cent kupigwa risasi..

Hivi unajua Connecticut kuna siku maalum ya kumkumbuka 50 cent inaitwa " 50 Cent Curtis Jackson Day" jamaa alipewa na Meya wa Jiji funguo ya Jiji!..
October 12
Sawa na leo tuchukue msanii tumpe siku yake kumkumbuka Dsm na tumpe funguo ya Jiji!..
Mkuu,,, nataka uzungumze kdogo juu ya ngoma ya P. I. M. P pamoja na impact yake
 
😀😀😀.,. Hivi kuna 50 cent mwingine or ni huyu huyu 50 cent tunaomjua wote unaemzungumzia hapa.!!!,..Afu he is broke,..hata mimi natamani kua 15mil usd broke aisee 😀
50 ni mmoja wa wasanii matajiri duniani, hao ni forbes 2017, wamemlist kama msanii tajiri no. 4 duniani baada ya Diddy, Jigga na Dr dre..
 
Kapanic tu huu ndo ulikuwa muda wake, maana mziki wa Swagg si ndo muda wake sasa
Swag zina Era yake..round hii swag sio tena mziki WA 50,swag za kina Lil Pump,Lil Guwop..Migos..Thugger..hata kipindi icho cha kina Rakim..,swag zilikua za kina Mc Hammer,LL cool J,Kurtis Blow....kwani now bongo nani Ana trap hard??swag on point??who's littest New Wave Rapper in Bongo
 
Dude!
Are you on crack too?
Why would you write explicit words like "alikuwa anamtomb* mama yake 50"?

Why the hell you gotta be using all that goddamned profanity!

Anyway, good post except the profanity part.
 
Mzee kama hilo neno lingekuwa matusi basi lisingeandikwa kwenye kamusi,by the way hata fifty mwenyewe mwenye mama ake ndiye aliyesema hivyo
 
Moni, Country boy, na madogo wa OMG labda, Zillah angekomaa sasa hivi kwa ile style yake angetoka tena kwa mimi navyoona. Au kwa sasa game ya bongo inahitaji rapper wa aina gani mkuu?
 
Moni, Country boy, na madogo wa OMG labda, Zillah angekomaa sasa hivi kwa ile style yake angetoka tena kwa mimi navyoona. Au kwa sasa game ya bongo inahitaji rapper wa aina gani mkuu?
rapper Ana rap with a melody..anaejua kuandika catchy hook..na beats kama za ayo,hit boy..Noah,boy 1da..mziki ndio upo huko,sio tena Lyrics over Beats,Ni Beats over Lyrics
 
As a shorty, I was a stan. Then I grew up and figured I wasn't really down with the type of man he was, a snitch who traded bars for memes, jokes, and clicks. He's a funny dude tho, creative and a hella hustla too. Don't buy too much into rap music, it's just showbiz for the most part.
 
rapper Ana rap with a melody..anaejua kuandika catchy hook..na beats kama za ayo,hit boy..Noah,boy 1da..mziki ndio upo huko,sio tena Lyrics over Beats,Ni Beats over Lyrics
Vipi kama mtu anajua kuandika na anajua kuweka melodies nzuri mkuu, mfano Billnas hivi
 
Wauza Unga wote Wakubwa Duniani huwa wenyewe hawatumii sababu kanuni yao kubwa ni "Dont Get High On Your Own Supply"!
 
. Madhara ya Copycat ndio haya. .Alieandika hii gist ni demu. Wewe umebeba kila kitu kama Kasuku na kubandika hapa. Bila hata kuelewa.

Ha ha ha ha

50 Cents aliwahi kusema haelewi kwa nini Mama yake alimchukia. Sasa naelewa kwanini alilelewa na Bibi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…