Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hoja yako, unaeza kuta yupo zaidi ya Rakim. Kitu ambacho kinaonyesha hajaweka impact yoyote ni kwasababu hajui ku present properly i mean artisticallyUnamzungumziaje Rakim katika kuandika mkuu, me naona hakuna anayegusa hapo sema tu hao wengine wamefanikiwa kujitangaza zaidi.
Inawezekana mkuu, na ndio maana me nasema katika Rappers na MCs ambao me nimewahi kuwasikia RAKIM yuko vizuri katika kuandika, japo MCs wengi huwa hawapo kibiashara sana ndo maana huwa hawatumii nguvu kubwa kujitangaza, heshima pia kwa Jigga, Nas n.k ambao wamejitangaza na wanajua kuandikaKwa hoja yako, unaeza kuta yupo zaidi ya Rakim. Kitu ambacho kinaonyesha hajaweka impact yoyote ni kwasababu hajui ku present properly i mean artistically
Hata baadhi ya nyimbo za Fid Q nchini zimekosa uwasilishaji mzuri ili kuweka impact. Lakini naye anasoma vitabu na kuimba vitu vya maana sana.
Jay Z ndio hiphop artist wa kwanza duniani kuimba na watoto.
Refer wimbo wa "Hard kNock Life" akiwa katika bentley.
Jay Z ukisikiliza nyimbo zake. Unaeza gundua hazichoshi.
Most hiphop artists hupati kitu cha maana. Lakini Jay z kwa average ame knock the hustle.
Jayz Music Ni somo tosha. Lazima utapata brain quotes za kutosha.
Mfano Jaribu kupata albam 2 tu. Za Black album na Blue print 3. Utaelewa. Hazina u childish na ule utoto wa miaka 18 ukilinganisha na ma rappers wengine wengi.
. Madhara ya Copycat ndio haya. .Alieandika hii gist ni demu. Wewe umebeba kila kitu kama Kasuku na kubandika hapa. Bila hata kuelewa.
Ha ha ha ha
kwa maana hiyo mkuu,kilichosababisha apigwe risasi sio nyimbo tu ni msaliti pia.50 Cent toka mtoto baada ya mama yake kuuliwa akaenda ishi na wajomba zake unaambiwa jamaa alikuwa anawasupply home mzigo wa cocaine!... Yani mjomba na ndugu wakipata arosto anawaambia kuna rafiki yangu anauza mzigo wanampa hela akawaletee kumbe anazunguka mtaani anarudi anawapa mzigo toka ndani ya nyumba humo humo[emoji2]. Badae alikuja kamatwa na gun shuleni kwao ndio ikabidi awaambie na home yeye ndio supplier wao na anauza sana!!... Jamaa ni gangstar hasa!.
I see the term 'shorty' got you confused, shorty. Word of advice, chill being a smartass and learn more. Getting involved in conversations about a field that you don't even follow it's vocabs, that's playing yourself.
Muangalie kwenye series ya [HASHTAG]#power[/HASHTAG]Duuuuhhhhh,noma sana...huwa kuna movie fulani ya 50 Cent siifaham kwa jina lkn ndani yake huwa kuna mauaji sana na matumizi ya madawa wa kulevya,kama unaifaham kwa jina naomba unifahamishe!
Tuambie unalolijuaunaongea usilolijua..
Kilichomfanya 50 Cents afikie top 3 ni muziki wake ambao ulifanya vizuri sana enzi hizo, huyo alitegemea muziki wake kuwa kwenye peak kumake mkwanja, na peak yake ndo ilishapita hairudi tena kama Mr. Nice vile, Pdidy ni mtu wa biashara, anapenda biashara na biashara inampenda, ndio maana hata asipoimba still anapiga mpunga mrefuMwaka 2007 forbes walimpa namba 2 50 nyuma ya Jay Z mwaka 2017 nazani Didy- 1 jay Z-3 lakini kushangaza kuna ingizo la Drake top 5!..
Kusema mtu flani utajiri wake utaishia ndotoni ni wewe kuota kweli!!.. Kuingiza mkwanja ni mipango utakayopanga tu!. Leo hii Jeff Bezos kamzidi Bill gate utajiri, uliwahi hata kuota Jeff anaweza mzidi Carlos Slim?..
Billnass BillnassSwag zina Era yake..round hii swag sio tena mziki WA 50,swag za kina Lil Pump,Lil Guwop..Migos..Thugger..hata kipindi icho cha kina Rakim..,swag zilikua za kina Mc Hammer,LL cool J,Kurtis Blow....kwani now bongo nani Ana trap hard??swag on point??who's littest New Wave Rapper in Bongo
Yah ni snitch cha ajabu anajiita gangsterkwa maana hiyo mkuu,kilichosababisha apigwe risasi sio nyimbo tu ni msaliti pia.
Vocabs my Ass.
Unless you claim your self a LADY. But the word is crystal clear. That you have copied a lady idea as your own.
Hapa chini nimetoa Tafsiri isiyo rasmi ya kiswahili kulingana na kile ulicho paste.
UMEANDIKA:-
"Nikiwa kama mwanamke nilistaajabu.
Kisha nikaja kukomaa na kupata picha kua nilikua sielewi aina ya mtu alivyo. Ni mtoa taarifa anatengeneza Pesa kwa kutumia jumbe, mizaha, na vitu vyenye kuvuma.
Mwanaume Anachekesha ingawa, ni mbunifu na mpambanaji haswa. Usiamini sana katika muziki wa Rapu. Kwa ujumla ni Burudani ya kujitangaza kibiashara zaidi(Show business).".
As a shorty, I was a stan. Then I grew up and figured I wasn't really down with the type of man he was, a snitch who traded bars for memes, jokes, and clicks. He's a funny dude tho, creative and a hella hustla too. Don't buy too much into rap music, it's just showbiz for the most part.
Word of advice:-
You should first be a Smart ass by not pushing too far.
Plagiarism is a crime
labda haijui nyimbo ya eminem stan..and now neno hilo limeingizwa kwenye misamiati ya EnglishSmh!
Shorty = Dogo/Nyokaa/Chalii.
Stan = Shabiki kupitiliza.
Tumia huo muda wa kutafuta sifa mitandaoni kujifunza lugha bro, sivyo utaendelea kujichoresha tu. Usipoelewa uliza.
ngoja nikutumie..ya vijana wa hapa hapa dsmHapana mkuu, inapatikana wapi hiyo
https://soundcloud.com/bar-es-salaamUshaiskia album ya Bar Es Salaam..season ii
Poa poa mkuungoja nikutumie..ya vijana wa hapa hapa dsm
![]()
Kukiwa hakuna MKALI, basi maboya hugeuka WAKALIStory za kutunga!!!.. 50 mchumba tu... R.I.P 2PAC!!..
Robert Kelly kawa Chid BenzUsiseme watu weusi sema masikini!!..Kuna masikini weupe nao wanafanya hayo hayo!..
50 alikuwa na ndoto sana toka kadogo lasivyo angekuwa teja kama R.Kelly