Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kuna watu hawajielewi...hilo ni gofu tu labda anauza kiwanja kwa bei ya ghorofa 5
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu hawajielewi...hilo ni gofu tu labda anauza kiwanja kwa bei ya ghorofa 5
Bora ingekuwa kama hii$93,286 hiyo South Africa)))ila bongo bhana nyumba mbovu watu wanauza bei hahhaha View attachment 2215224
Hahahahah huenda ni Chanika ya South Africa ila hapo city centre South Africa nyumba haiwezi kuwa bei chee hivyo