Ghorofa lapolomoka watu 15 hawajulikani walipo

Kwanza Kwanini mnamuingiza Rais kwenye mada zakipumbavu
Kuweni na heshima
Sio mimi niliyemuingiza rais kwenye mada ya kipumbavu ni zuwena huyo ndio kamuingiza, mada za kipumbavu zinaanzishwa na mpumbavu
 
Poleni sana ndugu zetu wa Kenya. Ila kuna umuhimu wa kufuatilia maghorofa ya hapo jijini hasa yale yaliyojengwa pembezoni mwa jiji. Hivi ile ripoti ya tume iliyoundwa kuchunguza uimara wa maghorofa yaliyojengwa Kariakoo iliishia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…