Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Angalia sasa, huu ndio upuzi zinao uongelea, sasa umeketi chini ukaamua tatizo la Kenya majengo ni ya wanasiasa! like really??? hii umetoa wapi? mwanasiasa hawezi jishuhulisha kujenga nyumba mahali kama huruma neighbourhood, yeye atajipeleka kule kuna pesa za ukweli..Tatizo la kenya
Asilimia kubwa mjini majengo ni yawana siasa na Mabepari
Wananchi wakawaida wao ni mabanda tu
Ajabu Hao wanasiasa na mabepari wanakwenda mahakamani kupinga kubomolewa kwa majengo hayo mabovu!
Alafu unamaanisha nini ukisema bebari, ninavyojua bepari ni capitalists, sasa unatarajui vipi mtu mwenye amejenga nyumba ya kukodisha asiwe bebari??? ulitaka ajenge na awachie wakaazi waishi bure? bado ujamaa unawasumbua nyie