Ghorofa laporomoka Kenya: Zoezi la uokoaji laendelea

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
8,000
Reaction score
16,414
Watu kadhaa wanahofiwa kufunikwa na vifusi wa jengo la ghorofa 13 ambalo limeporomoka katika eneo la Eastleigh Kaunti ya Nairobi nchini Kenya.

Maafisa wa uokoaji wako eneo la tukio wakiendelea na zoezi la kupekua vifusi vya jengo hilo ambalo limeanguka na mpaka sasa majeruhi mmoja amekimbizwa hospitali.

Kwa mujibu wa mashuhuda jengo hilo lilikuwa limekamika sehemu ya chini na palikuwa na maduka ya biashara

Maafisa wa polisi walifika katika eneo la tukio na wanaripotiwa kutumia mabomu ya kutoa machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wamekusanyika, ili kuwawezesha waokoaji kufika kwenye vifusi na kuendelea na shughuli za uokoaji.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Poleni majirani,ila authorities jaribuni kufuatilia na kuhakiki ubora wa majengo yenu maana imekuwa ikitokea mara kwa mara sasa...
 
Ghorofa laporomoka Kenya
Adam aporomosha ghorofa Kismayu.
Wanafunzi waporomoka matokeo ya somo la jiografia.
Kiswahili kina mambomambo fulani hivi. Pole kwa wahanga.
 
Poleni majirani,ila authorities jaribuni kufuatilia na kuhakiki ubora wa majengo yenu maana imekuwa ikitokea mara kwa mara sasa...
Majengo mengi hayana ubora hata authorities za Kenya zinajua hilo
 
Ile kitu ni kama cancer... Ndio maana usishngae Kuna nchi zingine kesi ya Rushwa unaweza pigwa mvua ya miaka 30+ behind bars
Alafu unakutana na wakenya wanakuambia nairobi ni international city ambao magorofa tena mengine mapya yanaporomoka
Afrika kuna mambo ya ajabu sana
 
Wasomali wamejenga sana hapo, kwa kasi sana, dark money sana, unregulated. Wakenya wanafurahia tu mji kujengwa.

May all beings attain enlightenment.
 
Eastleigh,ni hawa Pirate wakisomali wamewekeza.
Huko Minnesota Trump kamkalia kooni mmoja wa ilhan Omar kesi ya kuforge umri,hata babaake inasemekana sio babaake,ndoa pia kaolewa na kakaake ili wapate permit.
Sweden kuna mwingine Alli nani sijui ana makes kibao naye kajiingiza kwenye hayo mapolitic.
Sasa wamemkalia kooni pia.
 
Nimepitia comments lakini sijaona salamu za rambirambi au badobado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…